Wakuu, hili jambo limeishaje? kwa sasa tuna rescue timu kila kanda ikiwa na vifaa vyote kwa wokozi? Je tuna helicopter ngapi za wokozi zikiwa tayari kwa lolote kila kanda?
-Umoja ni nguvu.
-Kuendeleza na kuimarisha ushirikiano miongoni/kati ya wanachama wa EAC.
-Kubadilishana ujuzi,uzoefu na utaalamu katika nyanja hizo.
-Ni ndugu moja, refer # 2!
Wakuu, hili jambo limeishaje? kwa sasa tuna rescue timu kila kanda ikiwa na vifaa vyote kwa wokozi? Je tuna helicopter ngapi za wokozi zikiwa tayari kwa lolote kila kanda?
Tushasahau. 'ni mipango ya...', 'ajali haina kinga'. 'kama imepangwa itatokea tu' hizo ndio baadhi ya kauli mbiu za watanzania wengi kwanzia viongozi mpaka raia wa kawaida kabisa. Tunasubiri kiwake tena.