Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Wakuu, hili jambo limeishaje? kwa sasa tuna rescue timu kila kanda ikiwa na vifaa vyote kwa wokozi? Je tuna helicopter ngapi za wokozi zikiwa tayari kwa lolote kila kanda?

Manake isije
Mazungumzo na Uganda yanaendelea ili kupata ushirikiano mwema katika nyanja hizo za tahadhari na uokoaji.
 
Kwa nn Uganda? we can't do ourselves?
-Umoja ni nguvu.
-Kuendeleza na kuimarisha ushirikiano miongoni/kati ya wanachama wa EAC.
-Kubadilishana ujuzi,uzoefu na utaalamu katika nyanja hizo.
-Ni ndugu moja, refer # 2!
 
Wakuu, hili jambo limeishaje? kwa sasa tuna rescue timu kila kanda ikiwa na vifaa vyote kwa wokozi? Je tuna helicopter ngapi za wokozi zikiwa tayari kwa lolote kila kanda?

Manake isije
...alafu nmeskia huenda ajali nyingine ikatokea hivi karibuni.
 
Tushasahau. 'ni mipango ya...', 'ajali haina kinga'. 'kama imepangwa itatokea tu' hizo ndio baadhi ya kauli mbiu za watanzania wengi kwanzia viongozi mpaka raia wa kawaida kabisa. Tunasubiri kiwake tena.

Back
Top Bottom