Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Precision ilifata hizi ATR Ufaransa, alienda Bdozen kama ambassador
 
Mmmh ndugu yangu. Turbulence kwa ndege ni kitu cha kawaida. Hata hayo ma airbus na boengs za wenzetu hupitia hali hiyo ktk baadhi ya maeneo.
Asante kwa kumjibu. Jamaa inaonekana hana uzoefu wa kusafiri wka ndege mara kwa mara au hafuatilii ajali zinazotokea sehemu nyingine.

Tushukuru tuna hizo ndege ambazo kiukweli zinasaidia sana usafiri wa anga hasa wa ndani.

Bado ndege inaendeleankuwa usafiri salama zaidi kuliko wa barabara
 
Wasije wakasitisha uokozi ili wakalale kama ilivyokuwa kwa MV Nyerere.

Muumba waokoe waja wako
 
Imetokea masaa machache ilipokua ikitaka kutua kwenye kiwanja cha ndege kilichopo bukoba mjini ila ikadumbukia ziwa viktoria. Habari zaidi zinakuja nawaombea abiria wote watoke salama na kuokolewa wote wakiwa bado wapo hai
 
 
Angalia zoezi la uokoaji ndege inavutwa na kamba
Your browser is not able to display this video.
 
Hapo unatamani ungesikiliza yale maelezo ya usalama (safety instructions) yanayotolewa na cabin crews ambayo huwa watu wanapuuza kusikiliza.

Unaweza hata usilione boya ukamyang'anya mwenzako 🀣
Maelezo yao nilivyowaelewa ni kwamba maboya yapo chini ya siti. Ukiona ndege inaanguka, unalivaa unatoka nje, halafu unashika zile valve zilizopo begani unazielekeza juu ili zijaze hewa, ili ukifika kwenye maji uelee juu kwa kuwa life jacket litakuwa limejaa upepo.

Sasa sijui ni wangapi wanazingatia haya na kuyafanya. Ukichanganya kiwewe cha ajali
 
Kabisaaaa...aisee
 
Asante Yesu
 

Upo sahihi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…