Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Acheni chuki zisizo na msingi. Mitumba ni hii inaanza kudondoka hovyo. Si mlikuwa mnaona awamu ile ya wanoko ngojeni tu ability zitakaa Sawa huu ni mwanzo tu.
Mkuu mimi nilisikiaga zile ndege ni mtumba

Mzigo mpya 0km ya ndege sio mchezo

Sina roho mbaya wala chuki na magu
Mimi mwenyewe nilikua namkubali katika maendeo kadhaa
 
Taarifa zilizopo ni kwamba Precision Air ilipata Ajali jirani kabisa na Uwanja wa Ndege wa Bukoba, sababu ni kutokana na Hali ya hewa kuwa mbaya. Haikuangukia kwenye maji kabisa ila kwenye tope zaidi. Hakuna Majeruhi wala Vifo. Wote wameokolewa.'

Taarifa zilizopo ni kwamba Precision Air ilipata Ajali jirani kabisa na Uwanja wa Ndege wa Bukoba,sababu ni kutokana na Hali ya hewa kuwa mbaya. Haikuangukia kwenye maji kabisa ila kwenye tope zaidi. Hakuna Majeruhi wala Vifo. Wote wameokolewa.
 
inabidi wainyanyue pamoja na abiria kinyume chake wakifungua tu mlangu maji yanajaa ndani
 
Huwezi amini vyombo vya habari vya Tz breaking news wameipata hapa Jamiiforums na wengine zinapita dk kadhaa hapa lakini bado hakuna breaking news la tukio hili. Tupo nyuma sana ndugu zangu watanzania
Nchi hii shida sana wako busy kwenye press conference zakina Mwijaku na kina Manyoyo ndio habari pwendwa hizo.
 
Niulize wataalam humu, hivi kwa nini vuwanja vya ndege bukoba na mwanza sijui sehemu nyingine viko kando kabdo ya ziwa?
 
Kuna mtu alitabiri juzi hapa kuwa ndege itaanguka tena hapa jamii forums....

Yule jamaa ni mchawi
Mtu akiona mawingu yametanda kisha akisema mvua itanyesha na baadaye mvua ikanyesha kweli ! Huo sio uchawi. !
 
Hapo wakiweza kuact fast watu wanaokolewa.
Ni kweli.
Hali ya hewa ilikuwa ni ya mvua nyingi. Na inaonekana landing alianzia upande wa Zamzam ambako kuna obstacles.

All in all, tunaanza kulikumbuka wazo la Magu la kurefusha uwanja upande wa ziwani. Hii sijui iliishia wapi! Sasa tunaanza kuona madhara ya kupuuza wazo hilo.

Mimi katika uhai wangu, hii ni ndege ya pili kupata ajali ya aina hiyo kwenye hiyo site. Ya kwanza ilikuwa ndege ya jesh(siyo ya kivita) wakati wa vita na Iddi Amin. Ndege hiyo ilikuwa aina ya Buffalo.
 
Fastjet na precisionair wanatumia ndege za mtumba. Na fastjet ndio zilikuwa kimeo kabisa. Magu alilijua hili na ndio maana kwa kutumia kodi zetu akataka atuhakikishie usalama pia kwa kununua ndege mpya.

Lengo ilikuwa usalama kwa watanzania badala ya kusubiri majanga.
 
Aanh

Ni hatari sana kupanda usafiri wa meli na ndege kwa hizi nchi zinazoitwa 3rd countries

Mika 5 nyuma nakumbuka natoka dar naenda mbeya na hizi ndege za mtumba alizotuletea anko magu
Maeneo ya iringa pale kitonga, ndege linayumba kwa sababu ya kani ya mvutano

Nilisali salamu maria mara 1, baba yetu mara 2
Na nikapiga Alu akbar kama 5 hivi
Sasa ulijuaje kama uko kitonga ama ilichanja kwa barabara
 
Back
Top Bottom