Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Kwahiyo hata rais kachezewa?🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hata rais kachezewa?🤣
😅😅😅One day tutampata kiongozi ambaye akigusa sekta flan tutasema kweli Kuna mabadiliko.karibu kila sekta inayumba sio ulinzi ,uchumi,Afya,Ajira ,Elimu ,michezo ni siasa mwanzo mwisho😅😂Kuna mtu alitoa ushauri zinunulike drone serikali ilipinga, helicopter pia ndio zinatumika kubeba wanasiasa, sasa kupanda mlima kwa mguu kitu kinachochukua days ,niliona pia wanazima moto kwa kutumia fimbo😂
Mimi sijaona bado maana naona labda utabiri wake si wa hii habari.Utabiri sio lazima utokee 100%...lakin tukubali jamaa ana maono aisee
Ndo ivo mkuu ,Yani walioelimika na wasiolimika wote wanasapoti yasiyo na tija Wala umuhimuLeo wako busy na harusi ya Wolpa na uzinduzi wa EP ya Ommy..watnzania tunapenda ujinga ujinga kama huo
Jeshi la uokoaji liko dsm tu kujipatia point uko kwingine lolote liwapate inasikitisha sana
Ndiyo mazoezi na abiria ndani?BREAKING NEWS
Inasemekana yote hayo yaliyotekea yalikua ni mazoezi ya kawaida ya utayari kwa kiwanja cha ndege bukoba. Ambayo yapo kwa mujibu wa miongozo ya uendeshaji wa kitaifa na kimataifa...
Aibu Sana aisee..hapo Kwa majirani tu Kenya baadhi ya TV stations Wana mpaka chopa za kurusha matukio kama haya.Hakuna Tv station yoyote ambayo iko Live labda azam media. Wote nimecheki TBC,ITV,TVE sijui na wengine wapo busy na matamthilia.
Jambo kama hili lilipaswa kuwa Live watu wapate habari sahihi.
Vyombo vya habari viende eneo la tukio nani atawalipa? Ukiona mikamera kwenye habari yoyote Tanzania jua Kuna pesa hapo waandishi wameifuata...!Hakuna Tv station yoyote ambayo iko Live labda azam media. Wote nimecheki TBC,ITV,TVE sijui na wengine wapo busy na matamthilia.
Jambo kama hili lilipaswa kuwa Live watu wapate habari sahihi.
Mkuu upo nje ya ubongo vibaya mno. Nenda kaulize vizuri kama hizi ndege za precision air kuna mkono wa anko.Aanh
Ni hatari sana kupanda usafiri wa meli na ndege kwa hizi nchi zinazoitwa 3rd countries
Mika 5 nyuma nakumbuka natoka dar naenda mbeya na hizi ndege za mtumba alizotuletea anko magu
Maeneo ya iringa pale kitonga, ndege linayumba kwa sababu ya kani ya mvutano
Nilisali salamu maria mara 1, baba yetu mara 2
Na nikapiga Alu akbar kama 5 hivi
Kwahiyo taarifa hii ya Mtandao huu Reliable kabisa wa JamiiForums huiamini au?Ngoja tusubiri taarifa kamili toka mamlaka zinazohusika
Na kuna mahala hapa nimeoma Taarifa kuwa Abiria wote Wameokolewa na kuna nyingine isema Mtu Mmoja Kafa. Sijui tushike lipi kwakweli.Kwa jinsi ilivyozama inaonekana ni runway overshoot.
Ila hapo abiria watapitia wapi maana milango yote iko under water
Tupo zaidi ya nyuma.Huwezi amini vyombo vya habari vya Tz breaking news wameipata hapa Jamiiforums na wengine zinapita dk kadhaa hapa lakini bado hakuna breaking news la tukio hili. Tupo nyuma sana ndugu zangu watanzania
Kaka nipe ujuvi wa abiria wa kujua eneo halisi kama Kitonga nikiwa zaidi ya kilometa 5 juu.Aanh
Ni hatari sana kupanda usafiri wa meli na ndege kwa hizi nchi zinazoitwa 3rd countries
Mika 5 nyuma nakumbuka natoka dar naenda mbeya na hizi ndege za mtumba alizotuletea anko magu
Maeneo ya iringa pale kitonga, ndege linayumba kwa sababu ya kani ya mvutano
Nilisali salamu maria mara 1, baba yetu mara 2
Na nikapiga Alu akbar kama 5 hivi