Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Kwahiyo hata rais kachezewa?
84E20683-E688-47FB-8392-C5E4F91629A3.png
 
😂Kuna mtu alitoa ushauri zinunulike drone serikali ilipinga, helicopter pia ndio zinatumika kubeba wanasiasa, sasa kupanda mlima kwa mguu kitu kinachochukua days ,niliona pia wanazima moto kwa kutumia fimbo😂
😅😅😅One day tutampata kiongozi ambaye akigusa sekta flan tutasema kweli Kuna mabadiliko.karibu kila sekta inayumba sio ulinzi ,uchumi,Afya,Ajira ,Elimu ,michezo ni siasa mwanzo mwisho😅
 
Utabiri sio lazima utokee 100%...lakin tukubali jamaa ana maono aisee
Mimi sijaona bado maana naona labda utabiri wake si wa hii habari.
Na kwa jinsi nnavyoona, Mungu atasaidia huenda hakuna ambaye amekufa kama utabiri wake unavyosema.
Utabiri wake si wa ajali hii maana zaidi ya neno ndege hakuna kinachofanana na ajali hii
 
Leo wako busy na harusi ya Wolpa na uzinduzi wa EP ya Ommy..watnzania tunapenda ujinga ujinga kama huo
Ndo ivo mkuu ,Yani walioelimika na wasiolimika wote wanasapoti yasiyo na tija Wala umuhimu
 
Mbona wote hamjagundua kuwa hili ni jaribio la kuona utayari wa vyombo vya uokoaji. Kumbuka Mwaka jana kipindi kama hiki lilitokea pia eneo hili hili. Akiri mu kichwa
 
Hakuna Tv station yoyote ambayo iko Live labda azam media. Wote nimecheki TBC,ITV,TVE sijui na wengine wapo busy na matamthilia.

Jambo kama hili lilipaswa kuwa Live watu wapate habari sahihi.
Vyombo vya habari viende eneo la tukio nani atawalipa? Ukiona mikamera kwenye habari yoyote Tanzania jua Kuna pesa hapo waandishi wameifuata...!

Ukisikia "awamu ya *** vyombo vya habari vilibanwa sana" ujue hapakuwepo na pesa za Bure Bure za kupewa ili wakaripoti!
 
Aanh

Ni hatari sana kupanda usafiri wa meli na ndege kwa hizi nchi zinazoitwa 3rd countries

Mika 5 nyuma nakumbuka natoka dar naenda mbeya na hizi ndege za mtumba alizotuletea anko magu
Maeneo ya iringa pale kitonga, ndege linayumba kwa sababu ya kani ya mvutano

Nilisali salamu maria mara 1, baba yetu mara 2
Na nikapiga Alu akbar kama 5 hivi
Mkuu upo nje ya ubongo vibaya mno. Nenda kaulize vizuri kama hizi ndege za precision air kuna mkono wa anko.
 
Kwa jinsi ilivyozama inaonekana ni runway overshoot.

Ila hapo abiria watapitia wapi maana milango yote iko under water
Na kuna mahala hapa nimeoma Taarifa kuwa Abiria wote Wameokolewa na kuna nyingine isema Mtu Mmoja Kafa. Sijui tushike lipi kwakweli.
 
Huwezi amini vyombo vya habari vya Tz breaking news wameipata hapa Jamiiforums na wengine zinapita dk kadhaa hapa lakini bado hakuna breaking news la tukio hili. Tupo nyuma sana ndugu zangu watanzania
Tupo zaidi ya nyuma.
 
Aanh

Ni hatari sana kupanda usafiri wa meli na ndege kwa hizi nchi zinazoitwa 3rd countries

Mika 5 nyuma nakumbuka natoka dar naenda mbeya na hizi ndege za mtumba alizotuletea anko magu
Maeneo ya iringa pale kitonga, ndege linayumba kwa sababu ya kani ya mvutano

Nilisali salamu maria mara 1, baba yetu mara 2
Na nikapiga Alu akbar kama 5 hivi
Kaka nipe ujuvi wa abiria wa kujua eneo halisi kama Kitonga nikiwa zaidi ya kilometa 5 juu.
 
Precision Air waache janja janja, laana ya dhulma itawanyoosha. Afadhali hakuna aliyepoteza maisha ila wataingia gharama ....hawawezi kulikwepa na hili.😡
 
Back
Top Bottom