Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imethibitishwa tena kuwa si zoezi.. ni ajal kwel kuna video ya zoezi ilianza kusambaa tena ko ikaonekana ni zoez..Really?
Vic habari yako Dada.
Precision air wenyewe wamethibitisha kwamba ndege Yao imepata ajali, hii ni ajali kweli mkuuMbona wote hamjagundua kuwa hili ni jaribio la kuona utayari wa vyombo vya uokoaji. Kumbuka Mwaka jana kipindi kama hiki lilitokea pia eneo hili hili. Akiri mu kichwa
Ukielewa maana ya utabiri utaacha kuhoji. Hakuna mtabiri anayetaja details 100%, hiyo sio forensic investigation. Tena utabiri unaweza enda chaka kidogo, ukataja baba fulani atapanda cheo na isitokee kwake ikatokea kwa mkewe. Kwenye utabiri kuna nguvu mtabiri hazijui au hawezi kuzitafsiri, hiyo ya cheo unakuta bread maker ni mama au unakuta ndio alijilipia dowry au ndie ana kauli nyumbaniAlisema ina logo nyekundu na itakatika katikati. Utabiri wake sio wa ndege hii maana haina logo nyekundu na haijakatika katikati
Nimemsikia RPC akisema ndege ilikuwa na abiria around 40+ mpaka sasa wameokelewa around 26+Vipi watu wameokolewa?
PoaVic habari yako Dada.
Hata hapo watakaotoboa ni wachacheJwtz ni jeshi la kizamani sana,hawana mitumbwi ile ya hewa ambayo wangefika nayo hapo,hii ndege ingeanguka kati kati ya ziwa watu wote wangekufa, nchi zilizoendelea huwa tunaona kwenye media jeshi linafika kwa ndege na askari wanashuka kwa parachute ziwani
Kama nchi haitonunua vifaa siku moja itazama ndege kzti kati ya ziwa watu wote wafe
Ukielewa maana ya utabiri utaacha kuhoji. Hakuna mtabiri anayetaja details 100%, hiyo sio forensic investigation. Tena utabiri unaweza enda chaka kidogo, ukataja baba fulani atapanda cheo na isitokee kwake ikatokea kwa mkewe. Kwenye utabiri kuna nguvu mtabiri hazijui au hawezi kuzitafsiri, hiyo ya cheo unakuta bread maker ni mama au unakuta ndio alijilipia dowry au ndie ana kauli nyumbani
Za kupotea?
Mabasi managpi yanapata ajali ? Hizi ni ajali kama ajali zingine mbona hata mataifa ya ulaya ndege zinapata ajali na kuangukaAanh
Ni hatari sana kupanda usafiri wa meli na ndege kwa hizi nchi zinazoitwa 3rd countries
Mika 5 nyuma nakumbuka natoka dar naenda mbeya na hizi ndege za mtumba alizotuletea anko magu
Maeneo ya iringa pale kitonga, ndege linayumba kwa sababu ya kani ya mvutano
Nilisali salamu maria mara 1, baba yetu mara 2
Na nikapiga Alu akbar kama 5 hivi
Hapo sasa ingekuwa kwa wenzetu huko majuu saa nyingi hiyo ndege ingekuwa inaelea ama kwenye maji au angani !! Vifaa vyetu ni duni sana !! Poleni sana ndugu zetuKwa jinsi ilivyozama inaonekana ni runway overshoot.
Ila hapo abiria watapitia wapi maana milango yote iko under water
Toa mwongozo wa uokoaji.Pole yao sana wahanga...
Hujajua ajari za ndege zinakuwaje. What if hii ni runway skid off ambayo imepelekea ndege kwenye tope la maji na kuzuia isiharibu airframe. Na vipi ulitaka ndege ivunjike watu wafe ndio iitwe ajariHiyo ndege mbona kama imeenda pachikwa hapo tu kisilencer.. embu hichunguzwee hii.. hujuma..
Ajali fake hii..kwa ajali za ndege zinavyokuaga..
Inawezekana,maana naona Samia ame tweet kwamba uhokoaji bado unaendeleaHata hapo watakaotoboa ni wachache
Ndio hapo sasaWahuni walisha anza Mara eti ajali zoezi , yani ajali zoezi na abira, alafu robo 3 ya ndege umefunikwa na maji ,Sijui wanafanyaga haya KWa faida ya nani
Njema kabisaZa kupotea?