Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

[emoji23][emoji23]Kwa hiyo na mother ameshiriki au ameingizwa mkenge??
Screenshot_20221106-115125.jpg
 
Yupo college mate hospitali ya mkoa wa Kagera ambapo "majeruhi" wamepelekwa ngoja nimpigie nijilidhishe maana CCM sio wa kuwaamini kabisa!
Mkuu WA Mkoa alishawahi kuripoti mtu Mzima Kumbe!!!.....
 
Nadhani walikujibu vizuri waliozungumzia errors zinazoweza kutokea wkt nafsi(akili) ya mtabiri inapotafsiri kitu cha kiroho.Changanya maelezo connect dots.
Basi kama mnaruhusu errors kila mtu anaweza kuwa nabii...ntatabiri ajali ya meli ikaanguka ndege nitasema ilikuwa error ndogo tu.

Haya natabiri Mwezi ujao kutakuwa na ajali kubwa ya meli
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] precision imekuwa kipanya buguruni via Mandela road
[emoji38] [emoji23] [emoji38] [emoji23]
Yaani niliwaza mengi sana
Je yangeisha kabisa hewani?
Wangesema tushuke tuisukume [emoji1] [emoji1787]
 
Wako busy kununua ma vx mkuu hicho ndy kipaumbele cha maccm,wanakusanyika kwenye uzinduzi wa sensa wanalipwa ma pa DM yaliyonona wananchi wakipata shida kama hizi they don't care
Hayo mavx kwa Kweli wangeacha kuyanunua tu maana hayana faida kabisa katika nchi masikini kama hii !! Ndege inaanguka kwenye kina kifupi cha maji na tunashindwa kuokoa abiria wote waliokua kwenye ndege kwa sababu ya vifaa duni. !!
 
 
Acha mzaha huu ni msiba kuwa basi na hata chembe ya busara
Yaani Mzanaki niwe na Chembe ya Busara kwa Watani zangu wakubwa Wahaya? Tena nina Hasira nao kweli kweli kwani Mwezi uliopita tu katika Msiba wa Kaka yangu John huko Kibamba wametukamua Tsh 300,000/= za Utani na Ng'ombe tumewapa.

Na Mimi leo nawalipizia hapa hapa hawa Watani zangu na nasikia 99% ya Abiria waliokuwemo Ndegeni ni Wahaya tupu na mpaka sasa Wanahaha tu Kutoka na Wengi wao ni Washamba hata Kuogelea hawajui.

Leo watanikama hapa.
 
Mkuu hii sio ajali, ni zoezi tu la kupima uwezo wa uokozi endapo ajali halisi itatokea. Inaitwa AJALI ZOEZI.
Bado tu unasema Ni ajali zoezi kwa hyo precision air wame sacrifice ndege yake ili kufanya mazoezi ziwa Victoria ukanda wa bukoba

Embu tumia hata nusu ya akili ya umri wako kufikiri sawaswaa

Tushukuru had sas Hakuna vifo vilivyo ripotia

I'll kwa serekali hi kupika data na taarifa hawajambo si shangai inasemekana kuwa ilikuwa Ni ajali zoezi
 
Just imagine imezama saa mbili ,halafu almost 87 percent ndani ya maji,how is possible mtu achomoke hapo,wamefunguaje ule mlango hao wavuvi,na wameanza kuokoa muda gani baada ya impact?TBC,ITV Na nyingine zote zipo kimya why?
Hatar sana !
 
Hayo mavx kwa Kweli wangeacha kuyanunua tu maana hayana faida kabisa katika nchi masikini kama hii !! Ndege inaanguka kwenye kina kifupi cha maji na tunashindwa kuokoa abiria wote waliokua kwenye ndege kwa sababu ya vifaa duni. !!
Katika Maelezo yako nimeipenda zaidi hiyo Sentensi uliyosema tunashindwa Kuokoa Abiria kwani imeshanipa Jibu Kamili ya kile nilichokuwa nakitarajia.
 
Aanh

Ni hatari sana kupanda usafiri wa meli na ndege kwa hizi nchi zinazoitwa 3rd countries

Mika 5 nyuma nakumbuka natoka dar naenda mbeya na hizi ndege za mtumba alizotuletea anko magu
Maeneo ya iringa pale kitonga, ndege linayumba kwa sababu ya kani ya mvutano

Nilisali salamu maria mara 1, baba yetu mara 2
Na nikapiga Alu akbar kama 5 hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo havichekeshi ila nisamehe kwa kucheka hapo kwenye sala
 
Wahuni walisha anza Mara eti ajali zoezi , yani ajali zoezi na abira, alafu robo 3 ya ndege umefunikwa na maji ,Sijui wanafanyaga haya KWa faida ya nani
Alfu mijinga kweli nimetukana nao Sana watamdanganya Nani kuwa mindege ya 3rd world Ni majanga
 
Back
Top Bottom