Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

PM anapaswa kujiuzuru haraka kwa kuwa sehemu ya uzembe na aibu hii ya kushindwa kunusuru maisha ya watu katika umbali wa mita 100 kutoka nchi kavu.

Hii inatuonyesha hatuna utayari wowote kwenye majanga yenye kuhitaji akili, vitendea kazi na uharaka matokeo tunajikita kupiga ramli na blah blah nyiiingi..

inamaana hapo Bukoba kama mkoa hatuna hata Tag boat moja ya ton kadhaa yenye uwezo wa kuvuta hiyo kitu pamoja na team ya rescue inayoweza kufanya immediate response kwenye matukio kama haya?

kilichowaua waliokufa bila shaka ni kukosa hewa kwa kukaa muda mrefu bila uokozi, team yenye utalaam ilishindwa kufika haraka na kuangalia uwezekano wa kusupply hewa, na wengine wakiendelea na procidure nyingine za rescue kama kuivuta kwenda maji madogo nk.
 
Ndege huwa hewa ya nje haiingii ndani kama haijagonga mahali na kupasuka basi wako salama ila labda kwa wale wenye shida kama za presha na magonjwa nb mengine
Usidanganye watu, ndege engine zikizima presurization huondoka hivyo hewa ya nje huzama ndani kama kawaida
 
Kama kuna vifo basi vinatokana na uzembe katika uokozi, na vifo vitakuwa vimetokana na watu kukosa hewa wakiwa ndani ya Yai majini.

Haraka baada tu ya kuwa majini, ilipaswa ivutwe chap nchi kavu maana inaonekana sio mbali na then kuitoboa au kufungua milango haraka na kutoa watu ikiwa nchi kavu.

Uzembe mkubwa sana wa mamlaka husika kushindwa kuwaza haraka na kufika kwenye eneo husika kwa haraka na vifaa husika kwa haraka kuokoa maisha ya watu.

Yale mamipira yenye vifaa vya kutolea hewa inapotokea dharura hayakushuka abiria watumie? Nimesikia mkuu wa mkoa akisema mawasiliano yaliendelea kuwepo ikiashiria mitambo ilikua Bado Iko sawa.
 
Tanzania hakuna vyombo vya uokoaji.

Inasikitisha sana kwa ndege kutokuwa mbali na ufukwe inachukua masaa mengi kufanya uokozi, yaani alafu tumekaa kimya!

Kila kitu Tanzania kimekuwa siasa.

Yaani haina tofauti na kilichotokea kwa MV Bukoba.
 
Yale mamipira yenye vifaa vya kutolea hewa inapotokea dharura hayakushuka abiria watumie? Nimesikia mkuu wa mkoa akisema mawasiliano yaliendelea kuwepo ikiashiria mitambo ilikua Bado Iko sawa.
Kifaa cha umeme kikigusana na maji mara nyingi ndo mwisho wake...

Zile ni siasa tu ili watu wasiwe na hofu. Kwa jinsi ndege ilivyokuwa imeinama marubani kutoboa ni ngumu sana
 
Back
Top Bottom