Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Tatizo la Chala akiona kamera tu akili zake zinajiset kwenye "autodrive"Chala aliambiwa aache utoto hasikii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la Chala akiona kamera tu akili zake zinajiset kwenye "autodrive"Chala aliambiwa aache utoto hasikii
Kumbuka ile ajali ya chopa iliyokuwa na namba mbili mwaka ule ilipoanguka JNIA watu walipigana vikumbo kumuokoaMkuu,ndege inavutwa na kamba sada siku ndege ya jeshi ikizama watavuta na nini ? ,Ila huenda ni kama ulivosema jukumu lao kubwa ni kulinda wanasiasa
Imagine nae ndege atakakayopanda itumbukie tena kwenye kina kirefu.
Doooh means bado kama watu 17 hawajulikani status zao since 09:30 AMAmebainisha kuwa wamepokea jumla ya watu 26, Wanaume 17, Wanawake 9, huku Wanaume 2 na Mwanamke 1 wakipokelewa wakiwa wamefariki dunia.
Wengi watumishiDoooh means bado kama watu 17 hawajulikani status zao since 09:30 AM
Betty Chalamila Mkwasa. Ndiyo unataka hivyo?Betty Chalamila?
Nani huyo Mkuu,siikumbukiKumbuka ile ajali ya chopa iliyokuwa na namba mbili mwaka ule ilipoanguka JNIA watu walipigana vikumbo kumuokoa
Usidanganye watu, ndege engine zikizima presurization huondoka hivyo hewa ya nje huzama ndani kama kawaidaNdege huwa hewa ya nje haiingii ndani kama haijagonga mahali na kupasuka basi wako salama ila labda kwa wale wenye shida kama za presha na magonjwa nb mengine
Nashangaa!!!Sumu ijaribiwe Kwa kulambwa, ukiona wapi?
Huyo lazima awepo maana yaonekana waliokufa ni wengi na yeye ndo atatoa taarifa kamili kwani Maafa yako Ofisi yakeKassim Majaliwa ndo anakuja Bukoba Muda huu
Kama kuna vifo basi vinatokana na uzembe katika uokozi, na vifo vitakuwa vimetokana na watu kukosa hewa wakiwa ndani ya Yai majini.
Haraka baada tu ya kuwa majini, ilipaswa ivutwe chap nchi kavu maana inaonekana sio mbali na then kuitoboa au kufungua milango haraka na kutoa watu ikiwa nchi kavu.
Uzembe mkubwa sana wa mamlaka husika kushindwa kuwaza haraka na kufika kwenye eneo husika kwa haraka na vifaa husika kwa haraka kuokoa maisha ya watu.
jamani kumekucha kumekucha! 😢Yooooo kaziroooo bwakya bwakya bwakya bwakya bwakya bwakya!
Kifaa cha umeme kikigusana na maji mara nyingi ndo mwisho wake...Yale mamipira yenye vifaa vya kutolea hewa inapotokea dharura hayakushuka abiria watumie? Nimesikia mkuu wa mkoa akisema mawasiliano yaliendelea kuwepo ikiashiria mitambo ilikua Bado Iko sawa.
Hukumbuki. Kamanda Kova alichoropoka wa kwanza akasahau kuwa kamuacha bosi nyuma. Mtu wa Mungu Magufuli ndie alimsaidia Bilali kutoka salama.Kumbuka ile ajali ya chopa iliyokuwa na namba mbili mwaka ule ilipoanguka JNIA watu walipigana vikumbo kumuokoa
Hapo ina maana 14 bado. Yaani 26 wameokolewa, 3 marehemu bado 14 ambao mpaka sasa itakuwa ni miracles kama bado wako haiDoooh means bado kama watu 17 hawajulikani status zao since 09:30 AM
Vifo vyao na vya leo vimechangiwa na nchi yangu TANZANIA!Kivuko cha Mv Nyerere juzi juzi tu hapa watu 200 walikufa kwenye kina kifupi tu lakini bado hatujajifunza.