Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Watu 26 wameokolewa swali wameokolewa vipi? walitoka kwenye emerg exit na kama walitoka vipi mkuu wamkoa unakuja kusema bado tunawasiliana na rubani kwanini maelezo hayaingii akilini. cockpit inasehemu ya kuvunja na kutoka je kama exit imewatoa watu mnaosema wameokolewa hao wengine wako wapi? hii ni recevory ya ndege au ni rescue mbona mnatisha watu ku report hali halisi kweli hakuna hata picha za waliokolewa? siri za nini? hii ni accident sisemi muoneshe maiti lakini wale waliowazima shida iko wapi watu wapate faraja kidogo. watu wanavuta kamba askari kasimama na silaha utasema kuna vita. Aibu tena aibu sana. Hongera kwa wananchi wanawake kwa wanaume wanafanya wanachoweza.

Kuna uwezekano wengine walikuwa trapped, au kuna uwezekano waliobaki waliona washafariki hivyo jukumu la kutangaza vifo wakalia ha kwa msemaji mmoja wa serikali...
 
Kiongozi muongo hafai kuwa kiongozi ajiuzuru haraka sio kwamba ksababisha ajali hapana hana kosa lakini kwanini umasema uwongo na huyu sio mara ya kwanza wakati wa JPM huyuhuyu alisema kaongea na JPM mzima wa afya na anawasalimia. Huyu atolewe haraka sio kosa lake ajali lakini kiongozi kusema uwongo hadharani ni aibu hafai
Lengo lake nadhani ni kuepuka kuweka taharuki.
 
😭😭😭😭😭 Hilo tukio linaumiza sana ety kweny hiyo ndege kulikua na mtoto mdg 😭😭😭😭😭😭😭😭
Hii serikali yetu hapana aiseh😭😭😭😭😭😭😭
 
nimemsikiliza mama mmja nazani ni kiongozi anadai haikua ajali bali lilikua zoezi la kutekeleza uokoaji, akiwa na maana ilikua planned accedent ili kujipima na uokozi katika majanga dizain hiyo🙄.. nimesikitika sana
 
nimemsikiliza mama mmja nazani ni kiongozi anadai haikua ajali bali lilikua zoezi la kutekeleza uokoaji, akiwa na maana ilikua planned accedent ili kujipima na uokozi katika majanga dizain hiyo🙄.. nimesikitika sana
😳😳😳
 
Kuna uwezekano wengine walikuwa trapped, au kuna uwezekano waliobaki waliona washafariki hivyo jukumu la kutangaza vifo wakalia ha kwa msemaji mmoja wa serikali...
Inawezekana yote wala simlaumu yoyote hii ni ajali lakini mkuu wamkoa kuja hadharani nakusema bado tunamwasiliano na cockpit? unadhani ndugu wa hawa rubani watachukuliaje hii hali? wakijuwa waume zao au watoto zao wako ndani lakini huduma za kuokoa zimesababisha umauti wao? kuwa muwazi hali ya ndani hatujui tumeokowa 26 na tunapigana kuwatoa wengine simple.
 
Precision air Waka matwe Kwa kutoa taarifa za uongo , watu 26 wame okolewa kupitia wpi? watu wako hapo , boat zime zingila ndege na hatuoni watu wakitolewa ndani ya ndege, ni ujinga gani kutangazia mme okoa watu 26 bila kuonyesha ni mahali walikopitia, na kudanganya eti Kuna watu wamebaki , ukweli ni kuwa hakuna kilicho okolewa.

Serikali Ina wajibika moja Kwa uzembe mkubwa, uliona wapi ndege Ina vutwa na kamba za katani au small boats kama hizo toka asubuhi? Kwakua ndege ipo sehemu ambayo haiwezi zama na hatuna vifaa vizito kama cranes/ tinga tinga za kuvuta au kunyanyua basi tutoboe kama safety procedure zitaruhusu kuokoa abiria.
 
nimemsikiliza mama mmja nazani ni kiongozi anadai haikua ajali bali lilikua zoezi la kutekeleza uokoaji, akiwa na maana ilikua planned accedent ili kujipima na uokozi katika majanga dizain hiyo[emoji849].. nimesikitika sana
Ulukurukuru niyo nkuru>>Tetesi nayo ni sehemu ya habari.

*Atafutwe maharage ya ukweni aliyetabiri hili 25.10.22 afafanue vizuri ndoto/utabiri ulichochewa na nini
*Kama rubani kanusurika ni mwanzo mzuri wa ukamilifu wa hili
 
IMG-20221106-WA0047.jpg
 
Hii serikali kazi kukopa tu na mijitu kwenda nje ya nchi kila kukicha lkn hakuna hata mwenye akili timamu alosema kuhusu ununuzi wa vifaa vya uokoaji Wala askari kutrainiwa jinsi ya kuokoa watu kweny majanga
 
Back
Top Bottom