Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Watu 26 wameokolewa swali wameokolewa vipi? walitoka kwenye emerg exit na kama walitoka vipi mkuu wamkoa unakuja kusema bado tunawasiliana na rubani kwanini maelezo hayaingii akilini. cockpit inasehemu ya kuvunja na kutoka je kama exit imewatoa watu mnaosema wameokolewa hao wengine wako wapi? hii ni recevory ya ndege au ni rescue mbona mnatisha watu ku report hali halisi kweli hakuna hata picha za waliokolewa? siri za nini? hii ni accident sisemi muoneshe maiti lakini wale waliowazima shida iko wapi watu wapate faraja kidogo. watu wanavuta kamba askari kasimama na silaha utasema kuna vita. Aibu tena aibu sana. Hongera kwa wananchi wanawake kwa wanaume wanafanya wanachoweza.
Kuna uwezekano wengine walikuwa trapped, au kuna uwezekano waliobaki waliona washafariki hivyo jukumu la kutangaza vifo wakalia ha kwa msemaji mmoja wa serikali...