Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Yaani hata MUNGU anatushangaa
Hii nchi ya ajabu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi ya ajabu sana
😂😂😂Komandoo kipensi wa majini walikua wana ogopa kulowesha nguo zao kwenye majiView attachment 2408679
Ficha upumbavu wako, kama hujui kitu tulia kimya acha kujiaibisha. Wewe unadhani kwa akili yako mamba wanaishi wapi? Kwenye madimbwi sivyo?Mamba anakaa ziwani?
Tusiwalaumu,budget ndogo na hawana vifaa.Kikosi cha zima moto na uokoaji , kinatakiwa kutafakari katika haya hivi karibuni moto uliwaka kule mlina Kilimanjaro lakini jitihada za kuuzima moto zilikuwa siyo effective sana ikichangizwa na vifaa vilivyokuwa vikitumika, leo tena Ndege imedondoka lakini pia tumeendelea kushuhudia bado kikosi hiki hakijajipanga kisawasawa kukabiliana na matukio ya dharula katika maeneo tofauti tofauti. Serikali ione umuhimu wa kukiwezesha kikosi hiki ili kifanye wajibu wake kisheria kikamilifu... Roho za watu hazina spare...Mlima Kilimanjaro unaiingiza serikali fedha nyingii sanaaa. Basi upewe kipaumbele maalumu.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Hapo sasa inategemea policies zaoKampuni yenyewe inalipa kidogo .ila mkiwashitaki inabidi muombe kiasi kikubwa na mnegotiate. Unafikiri wakitoa tu wenyewe watatoa nyingi bila kushurutishwa ?
Very strange....Mikutano kama hii inasaidia nini wakati kazi ya uokozi inaendelea????
View attachment 2408700
View attachment 2408701
View attachment 2408705
angalau nimeichuua hii clip kabla Chalamila hajaifuta! Eti waliuwa wanawasiliana na marubani, shame!
Watu 26 wameokolewa swali wameokolewa vipi? walitoka kwenye emerg exit na kama walitoka vipi mkuu wamkoa unakuja kusema bado tunawasiliana na rubani kwanini maelezo hayaingii akilini. cockpit inasehemu ya kuvunja na kutoka je kama exit imewatoa watu mnaosema wameokolewa hao wengine wako wapi? hii ni recevory ya ndege au ni rescue mbona mnatisha watu ku report hali halisi kweli hakuna hata picha za waliokolewa? siri za nini? hii ni accident sisemi muoneshe maiti lakini wale waliowazima shida iko wapi watu wapate faraja kidogo. watu wanavuta kamba askari kasimama na silaha utasema kuna vita. Aibu tena aibu sana. Hongera kwa wananchi wanawake kwa wanaume wanafanya wanachoweza.
Ndio ila pambana Sasa tuone,au timiza wajibu wako, tuseme kweli ilishindikana KWa mapenzi ya Mungu, mwinngine msimtwishe Mungu, bali ni uzembe ndo maana Mungu akaumba mwanadam KWa mfano wake, leo watu wanavutaje lindege wakati zana za kuvutia zipio, nayo tumlaum Mungu eboYaani maisha sijui hata yana maana gani, inauma na kuumiza sana!
Tunaweza kuilaumu serikali na watendaji wote wanaohusika na ukoaji kwa kutokuwajibika kwa namna moja au nyingine lakini ajali haina kinga, ajali haitangulizi taarifa kwamba itakuja...
Wanajua kupiga wananchi tu.Kichwa Cha habari kinajieleza na picha ipo chini.View attachment 2408708
Shida ni hali ya hewaHii ajali kama ni pilot error ndo imeisha hiyo maskini mana na pilot mwenyewe kafariki hakuna kesi ila kama ni shida ya ndege basi byebye precision airways!
Hopefully tutajua what really happened baada ya uchunguzi!