Anao uhuru wa kusema chochote hakuna anayepinga huo uhuru.kwahiyo anyang'anywe na azuiwe kabisaaaa haki na uhuru wake wa kutoa maoni na mtazamo juu ya mambo yaliyomfanya atoke na kujiunga kwingineko, right ?🤣
Upo sahihi snMsigwa naye hakuwa na sababu ya kukisema chama ambacho kimemlea na kumtunza kwa miaka chungu nzima. Hata kama CHADEMA ina mapungufu, lakini bado alitakiwa kujizuia kuingelea vibaya.
Aache kunyea kambi. Maana kuna leo na kesho. Shauri zake.
Msigwa kapewa masharti na CCM baada ya kulamba 1BBulaya anezungumza ukweli ndivyo siasa zinavyopaswa kuwa.
Mtu anapohama chama ahame kwa amani na aende chama kipya kwa amani. Pia kule alikotoka wasimkashifu.
Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto.
Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge, alikua Mwenyekiti wa Kanda na posho kibao.
Amesema Hana tatizo na Msigwa Kahama ila ana shida na namna alivyohama. Ana akili, ameweka maneno ya akiba.
View: https://vm.tiktok.com/ZMrBuKK8T/
amesema ni wa wananchiKwani yeye bulaya anawakilisha chama gani!
Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto.
Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge, alikua Mwenyekiti wa Kanda na posho kibao.
Amesema Hana tatizo na Msigwa Kahama ila ana shida na namna alivyohama. Ana akili, ameweka maneno ya akiba.
View: https://vm.tiktok.com/ZMrBuKK8T/
Shida iko wapi? Hivi kusema mapungufu ya safari yako jana ni dhambi? Ameyaona mapungufu ya huko alikotoka, kwanini iwe siri yake.Msigwa naye hakuwa na sababu ya kukisema chama ambacho kimemlea na kumtunza kwa miaka chungu nzima. Hata kama CHADEMA ina mapungufu, lakini bado alitakiwa kujizuia kuingelea vibaya.
Aache kunyea kambi. Maana kuna leo na kesho. Shauri zake.
Hana nyimbo!amesema ni wa wananchi
Habari ya kuchaguliwa mke au mume na wazazi waliokuzaa na kukulea ni mila, desturi na utamaduni ulopitwa na wakati 🐒View attachment 3034043
Na kweli chama kilimlea.
Mkuu upo sawa kabisa.🐒Habari ya kuchaguliwa mke au mume na wazazi waliokuzaa na kukulea ni mila, desturi na utamaduni ulopitwa na wakati 🐒
jifunze kujitegemea kwa uhuru 🐒
Hiyo 1B soon itamtokea puani. Shetani hajawahi kumuacha mtu salama.Msigwa kapewa masharti na CCM baada ya kulamba 1B
Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto.
Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge, alikua Mwenyekiti wa Kanda na posho kibao.
Amesema Hana tatizo na Msigwa Kahama ila ana shida na namna alivyohama. Ana akili, ameweka maneno ya akiba.
View: https://vm.tiktok.com/ZMrBuKK8T/
Mzee amekuwa kama mtoto yatimaHiyo 1B soon itamtokea puani. Shetani hajawahi kumuacha mtu salama.
MmmmmghCcm na mbowe wana akil sana.
Sasa hiv chadema wanamsahau msiba na kuwasamehe akina Bulaya.
Hii move inaendeshwa kwa akili ndogo sana ila inawapoteza watu vibaya mnoo.
Jiulize ni miaka sasa Bulaya kuongelewa positivelly midomoni mwa wana chadema
Malipo haramu, hata siku moja, hayawezi kumpa amani mtu yeyote, bali humletea laana yeye na wazao wake.Mbona hana amani kabisa licha ya kudaka bilioni moja toka mbogamboga
Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto.
Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge, alikua Mwenyekiti wa Kanda na posho kibao.
Amesema Hana tatizo na Msigwa Kahama ila ana shida na namna alivyohama. Ana akili, ameweka maneno ya akiba.
View: https://vm.tiktok.com/ZMrBuKK8T/
ukinunuliwa lazima ukubali kusoma SCRIPT ya aliyekununua. mtu kama msigwa hutegemei akiwa hana misimamo kiasi kileBulaya anezungumza ukweli ndivyo siasa zinavyopaswa kuwa.