Bulaya ampa za Uso Msigwa

Bulaya ampa za Uso Msigwa

kwahiyo anyang'anywe na azuiwe kabisaaaa haki na uhuru wake wa kutoa maoni na mtazamo juu ya mambo yaliyomfanya atoke na kujiunga kwingineko, right ?🤣
Anao uhuru wa kusema chochote hakuna anayepinga huo uhuru.

Ila kwa busara ya kawaida sio vyema kukashifu ulikotoka na palipokusaidia.

CHADEMA alinufaika nqyo kiuchumi ndio naana alikaa miaka mingi akiwa kiongozi na mbunge. Wenye akili tunajua kikichomtoa CHADEMA ni maslahi kufikia tamati. Kinachompeleka CCM ni maslahi ya kiuchumi aliyoyakosa CHADEMA. ambayo ameahidiwa; Nako anaweza siku moja akahama pia.
 
Msigwa naye hakuwa na sababu ya kukisema chama ambacho kimemlea na kumtunza kwa miaka chungu nzima. Hata kama CHADEMA ina mapungufu, lakini bado alitakiwa kujizuia kuingelea vibaya.

Aache kunyea kambi. Maana kuna leo na kesho. Shauri zake.
Upo sahihi sn
 
Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto.
Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge, alikua Mwenyekiti wa Kanda na posho kibao.

Amesema Hana tatizo na Msigwa Kahama ila ana shida na namna alivyohama. Ana akili, ameweka maneno ya akiba.

View: https://vm.tiktok.com/ZMrBuKK8T/

Kwani yeye bulaya anawakilisha chama gani!
 
Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto.
Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge, alikua Mwenyekiti wa Kanda na posho kibao.

Amesema Hana tatizo na Msigwa Kahama ila ana shida na namna alivyohama. Ana akili, ameweka maneno ya akiba.

View: https://vm.tiktok.com/ZMrBuKK8T/

Watanzania tunatakiwa tuwe na uwezo wa kuchambua na kupata majibu. Kwa cdm inavyoendeshwa, ni dhahiri shairi kuwa ni SACCOS.

Watanzania tuwe na akili, kama za wakenya.Sisi ni wamoja. Ukweli, uwe ukweli na uongo uwe uongo. CDM ilipofikia ni SACCOS ya Mbowe, na ndio maana ni mwenywkiti wa kudumu. Ili adai pesa za mishahara ya wabunge.
 
Msigwa amekosea sana kupopoma nahisi alitawaliwa na hisia zaidi
 
Msigwa naye hakuwa na sababu ya kukisema chama ambacho kimemlea na kumtunza kwa miaka chungu nzima. Hata kama CHADEMA ina mapungufu, lakini bado alitakiwa kujizuia kuingelea vibaya.

Aache kunyea kambi. Maana kuna leo na kesho. Shauri zake.
Shida iko wapi? Hivi kusema mapungufu ya safari yako jana ni dhambi? Ameyaona mapungufu ya huko alikotoka, kwanini iwe siri yake.
Kama hayo aliyoyasema ndio anavyoielewa chadema ya LEO na anaamini hivyo, ni vyema kuyaweka bayana.
Kama Bulaya alhama CCM ili awe huru kusema anayoyaamini, akitolea mfano Bandari, tayari kashayasema mapungufu ya CCM.
Kujua mapungufu ya vyama vya siasa toka kwa viongozi waliotumikia vyama hivyo ni muhimu sana ka ajili ya wananchi na vile vile wale walio mbioni kujiunga na vyama hivyo. Kwangu, Msigwa kanipa faida kubwa sana hasa ukizingatia uchaguzi wa S/ za mitaa mwaka huu na uchaguzi mkuu 2025.
 
Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto.
Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge, alikua Mwenyekiti wa Kanda na posho kibao.

Amesema Hana tatizo na Msigwa Kahama ila ana shida na namna alivyohama. Ana akili, ameweka maneno ya akiba.

View: https://vm.tiktok.com/ZMrBuKK8T/

Huyu Bulaya sikubali kumsikia kabisa wala Msigwa asimjibu. Mwanamke anayekubali kuolewa na mwanamke mwenzie siyo saizi ya Msigwa.
 
Ccm na mbowe wana akil sana.
Sasa hiv chadema wanamsahau msiba na kuwasamehe akina Bulaya.
Hii move inaendeshwa kwa akili ndogo sana ila inawapoteza watu vibaya mnoo.
Jiulize ni miaka sasa Bulaya kuongelewa positivelly midomoni mwa wana chadema
 
Mmmmmgh
 
Bulaya asamehewe, arudi chamani.

Fikiria hawa Covid 19 walivyowahi kusemwa vibaya na watu wengi, lakini hata siku moja hawakuwahi kukikashfu chama wala viongozi wakuu wa chama. Hii inadhihirisha hrkima waliyo nayo, licha ya mapungufu yao.

Civid 19, waombe msamaha, warudishwe kundini.

CHADEMA, Tunawategemea katika ukombozi wa nchi hii.
 
Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto.
Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge, alikua Mwenyekiti wa Kanda na posho kibao.

Amesema Hana tatizo na Msigwa Kahama ila ana shida na namna alivyohama. Ana akili, ameweka maneno ya akiba.

View: https://vm.tiktok.com/ZMrBuKK8T/

Naye kuna siku atatimkiya ccm tutamkumbusha kwa hii video
 
Bulaya anezungumza ukweli ndivyo siasa zinavyopaswa kuwa.

Mtu anapohama chama ahame kwa amani na aende chama kipya kwa amani. Pia kule alikotoka wasimkashifu.
ukinunuliwa lazima ukubali kusoma SCRIPT ya aliyekununua. mtu kama msigwa hutegemei akiwa hana misimamo kiasi kile
 
Back
Top Bottom