Anao uhuru wa kusema chochote hakuna anayepinga huo uhuru.kwahiyo anyang'anywe na azuiwe kabisaaaa haki na uhuru wake wa kutoa maoni na mtazamo juu ya mambo yaliyomfanya atoke na kujiunga kwingineko, right ?š¤£
Ila kwa busara ya kawaida sio vyema kukashifu ulikotoka na palipokusaidia.
CHADEMA alinufaika nqyo kiuchumi ndio naana alikaa miaka mingi akiwa kiongozi na mbunge. Wenye akili tunajua kikichomtoa CHADEMA ni maslahi kufikia tamati. Kinachompeleka CCM ni maslahi ya kiuchumi aliyoyakosa CHADEMA. ambayo ameahidiwa; Nako anaweza siku moja akahama pia.