Uchaguzi 2020 Bulembo aahidi kumng'oa Zitto Kabwe kwa udi na uvumba

"japo najua kweli Bulembo yuko fit maana siku ile alipomhukumu kifo Zitto pale Bungeni, yeye mtoa hukumu anaendelea kudunda ila yule mshangiliaji hukumu ile kwa kupiga tuu makofi amechomoka!."

[emoji848]Mkuu unaweza ukanidadavulia kidogo hapo?
ushawahi kuona zitto anakamatwa kindenzi?
 
Sasa Muke Mkubwa ya Zitto ndio hatar jiddah, Shombe shombe la maana, Assist ya lile Goli alipewa na Hayati Deo Filikunjombe
Zitto mke wake si mzungu? Mtoto wa mhe jaji Bwana? Au yupi huyo
 
Hivi Bulembo amewahi kushinda uchaguzi? Achana na huu ubunge wa viti maalumu aliozawadiwa
Mhe bulembo ni mbunge wa kuteuliwa na Rais kwenye vile viti 10 ambavyo pia kina prof ndalichako,prof kabudi wamo huko
Au ulikuwa unazungumzia HALIMA BULEMBO?
 
Paskali acha kupotosha, mshangiliaji kachomoka na Carolina. Zitto siyo kigagula kiasi hicho. Anyway huyo bulembo anayetishia katumia kiinua mgongo chake kwani Zitto hakulipwa hayo mamilion? Haoni aibu kumshambulia mtu aliyemsaidia kazi ambayo bulembo haruhusiwi kufanya? Aheshimu mkwewe.
 
Mhe bulembo ni mbunge wa kuteuliwa na Rais kwenye vile viti 10 ambavyo pia kina prof ndalichako,prof kabudi wamo huko
Au ulikuwa unazungumzia HALIMA BULEMBO?
Kuteuliwa si ndo viti maalum hivyo vya Rais, namzungumzia huyo Bulembo baba mwenye kitambi
 
Nje ya mada, hivi kweli ZITTO kamuoa halima bulembo? Dah yule Dada Mimi namuona mzuri (ukiachana na chama chake),zitto basi anaidi totoz ya Lumumbaa au washaachana?
Halima Bulembo ni mke halali wa Zitto Zuberi Kabwe Rugambwa.


Najua unaelewa unaposikia Mke halali.
 


Sasa Mkwe akikosa kazi itakuwaje Mtoto wake atalala njaa......duuu
 
Una ushahidi? Weka hapa tuamini, kinyume na hapo utadhihirisha upumbavu wako tu!!!
 
Kuna watu na viatu, hivi Bulembo ana lipi la kujilinganisha na Zzk? Iwe kujenga hoja au kukubalika kwa wana kigoma?

Zzk alijisimamia kugombea ubunge na mungu akamjalia akachaguliwa na wapiga kura wake.

Huyo Bulembo sijui kama hata anaweza kujieleza kuomba kura za ujumbe wa nyumba kumi.
 
Nakumbuka hata kijijini kwao pale bulembo wilayani kwao misenyi hata majirani zake hawamjui
 
Daah! Sijui kuna mtambo gani wa kuvuruga akili pale ccm,wewe fikilia Pole pole uliyekuwa unamjua,fikilia Bashiru uliyekuwa unamjua,fikilia Kabudi mwl wangu niliyekuwa namjua wote hawa Sasa hivi hawana tofauti na kibajaji,msukuma na mlinga.
 
Kumbe Zzk kampigia binti yake? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…