chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Hamna aliyempenda Magu, ila ulilazimika kuwa nae, mteuliwa wa CCM unalazimika kumfanyia kampeni ukiwa mwanachama, hata usipompenda. Ila tatizo la Magu lilianza aliposhika madaraka si kabla, wengi tulimuunga mkono, lakini akatuona mafala!Hahahah mda mwingine akina Bulembo wanasumbuliwa na udini pamoja na ujinga! Yaani anajidai alikuwa anampenda Magufuli kwani kutembea na Magufuli kama kampeni maneja ndo kuwa naupendo nae? Yaani ukimsikiliza ndo utajua kiwango chake cha ujinga!
😀 Siasa tamu, asikwambie mtu.Hahahaaaa....... huyu Bulembo alikuwa kampeni meneja wa Magufuli 2015.
Akapewa ubunge yeye na mwanawe Halima.
Zitto Kabwe akaingilia kati akaoa yule bint!
Daaah!Hahahaaaa....... huyu Bulembo alikuwa kampeni meneja wa Magufuli 2015.
Akapewa ubunge yeye na mwanawe Halima.
Zitto Kabwe akaingilia kati akaoa yule bint!
HALAFU BULEMBO AKAKASIRIKA AKAJENGA BIFU NA ZITTO. ZITTO NAKO KAKOMAAA ANAKULA TU MZIGO WA MTOTO WA BULEMBO.Hahahaaaa....... huyu Bulembo alikuwa kampeni meneja wa Magufuli 2015.
Akapewa ubunge yeye na mwanawe Halima.
Zitto Kabwe akaingilia kati akaoa yule bint!
Sijui aliwezaje Yule mwamba!!Daah kweli Magufuli alitisha, hawa wazee walipigwa pini kali sana hakuna cha bulembo,makamba wala nani,saiv ndio wanajitokeza.
Maneno ya Bulembo!
Polepole ni unyasi mkavu ni mdogo sana Mangula ashughulike naye.
Bulembo anataka mdahalo na Polepole na yuko tayari kulipia ukumbi.
Bashiru wa CUF hakutakiwa kuwa pale maana hajakulia katika chama cha mapinduzi! Sasa najiuliza kumbe chama cha mapinduzi ili uwe kwenye kundi la mwenye chama unatakiwa uwe umekulia humo!
Inaonekana pia suala la kinana na makamba ni kubwa hawa wazee ndo CCM yenyewe!
Paramagamba Kabudi aliharibu mahusiano ya kimataifa na Rais Samia sio sawa na Magufuli!
Hayo ni mambo ya Bulembo! Mmoja ya wenye COmbi.
Ombi! Vijana ambao Baba zenu sio wenye chama mwisho wenu 2025!
Kumpa bashiru ukatibu mkuu ccm, ilikua big mistake kweli kweli...Maneno ya Bulembo!
Polepole ni unyasi mkavu ni mdogo sana Mangula ashughulike naye.
Bulembo anataka mdahalo na Polepole na yuko tayari kulipia ukumbi.
Bashiru wa CUF hakutakiwa kuwa pale maana hajakulia katika chama cha mapinduzi! Sasa najiuliza kumbe chama cha mapinduzi ili uwe kwenye kundi la mwenye chama unatakiwa uwe umekulia humo!
Inaonekana pia suala la kinana na makamba ni kubwa hawa wazee ndo CCM yenyewe!
Paramagamba Kabudi aliharibu mahusiano ya kimataifa na Rais Samia sio sawa na Magufuli!
Hayo ni mambo ya Bulembo! Mmoja ya wenye COmbi.
Ombi! Vijana ambao Baba zenu sio wenye chama mwisho wenu 2025!
Kwani Nape nae kabadili dini siku hizi amekuwa muislam?Hakuna kitu hapo! Huyo Bulembo na akina zitto udini ndo unawasumbua mnajidai kuwatetea akina Makamba na kinana! Wanafiki sana nyie!
Hiyo inafahamika,, polepole atagombea urais 2025 kupitia cdm[emoji23][emoji23]Vipi muazimwe mgombea!
He kumbe Bia yetu alikuwa mheshimiwa?Hivi vi ID vipya huwa vinakuwa na mbwembwe sana, kuna mwenzako alikuja humu na ID Bia yetu, alikuwa na mbwembwe kama wewe, now kazikwa Uchatoni
Ha ha ha, jamaa alikua na msimamamo, anateua wapinzani, anawapa uwaziri, uongozi chamani,, walioanza tangu chipukizi wanatupwa nje,, anateua wanyantuzu,, na hakuna mtu atakohoa,, ila at least alijitahidi kubalance dini... No wait... [emoji134][emoji134]Daah kweli Magufuli alitisha, hawa wazee walipigwa pini kali sana hakuna cha bulembo,makamba wala nani,saiv ndio wanajitokeza.
Huku Polepole akiwa Ni afisa manunuzi wa wabunge wa upinzaniBulembo ana elimu gani ya kutaka mdaharo mtu mwenyewe ana kashifa ya kufuja mali za jumhiya ya wazazi
Upinzani upi?Sasa kumekucha " if they can split in themselves "fine mjue ukombozi wa kweli na democrasia ya kweli inaenda kukaribia..Japo ..upinzani wawee makini mana neno CCM kutajwa tajwa inawrza kuwa kampeni tosha ya uchaguzi ujao. UPINZANI NI wakati wa kupanga mikakati ya offcate haya yanayoendelea!!wache waparuane tujue black and white!!
Amesema atagombea kupitia CCM 2025.Hiyo inafahamika,, polepole atagombea urais 2025 kupitia cdm[emoji23][emoji23]
Sijui umetumia upande upi wa ubongo kufikiria....Huyu Polepole hawajui CCM vizuri, akamuulize Sabaya jela!! CCM wanachoangalia matumbo yao tu, siku likimpata la kumpata hao wanaomshabikia hatamuona hata mmoja, sana sana watakuwa wanamchagiza kwa ids fake mitandaoni
Tanzania ndio yetu. CCM ni ya wachacheCCM ni yetu sote, Tanzania ni yetu sote... [emoji23] #kataawahuni
Derby la nzi wa kijani ndani ya lumumba!!Maneno ya Bulembo!