Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716

Mbunge wa kuteuliwa mstaafu alhaj Bulembo amesema hana mkwe anayeitwa Zitto na kwamba " wao" wanafanya starehe zao vichakani hivyo hawezi kuwa mkwe katika familia yake.

Alhaj Bulembo alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa Clouds 360 aliyetaka kujua kama Halima Bulembo ni mke wa Zitto na familia imebariki.

Chanzo: Clouds TV

Pia soma - Elections 2020 - Bulembo aahidi kumng'oa Zitto Kabwe kwa udi na uvumba

Maendeleo hayana vyama!
 
Tanzania ni pure jungle, Maisha ni rule of the jungle kama vile masokwe na Nyani wanavyoishi, ukitaka kuthibtisha kwamba asili ya Binadamu ni Masokwe na Nyani njoo Tanzania, Masokwe yenye nguvu ndiyo yanayochukuwa wanawake wote kwa kuwapiga masokwe dhaifu, hata Tanzania ni hivyo kuna wanaume wengi hawapati wanawake wa kuoa lkn wengine wanachukuwa wanawake wote ingawaje wameshaoa na wana familia, angalia Mbowe, Zito kabwe &Co. zero morals, ni kama Wanyama tu, ...
 
Hahahaaaa....... Kwahiyo Bulembo kaonewa!
 
Kwa hio amekubali kwamba mwanae alichapwa na zitto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…