Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!

Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!

... kuna wanaume wengi hawapati wanawake wa kuoa lkn wengine wanachukuwa wanawake wote ingawaje wameshaoa na wana familia, angalia Mbowe, Zito kabwe &Co. zero morals, ni kama Wanyama tu, ...
Mkuu, ni kweli kuna wanaume wengi hawapati wanawake wa kuwaoa? Mbona katika maisha halisi wanawake ndio hawapati wanaume wa kuolewa nao? Naona hapa umeweka kwa ghadhabu tu kama za mzee Bulembo
 
😂😂😂😂😂 zile za kubinuana siyo?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahahah😂😂😂yahhh

Mzee naona kawaza afu akashikwa na hasira sana😂😂

Inakuwaje ZZK anamnanii mwanangu hivi😅
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Sokwe kubwa na lenye nguvu huwapiga Masokwe wadogo na kuchukuwa wanawake wao, wale masokwe wasio na nguvu hawapati wanawake, hivyo lisokwe limoja lenye linajilimbikizia wanwake wote, ...
 
😂😂😂😂😂 moyoni anawaza binti yangu umri unakimbia na biological clock is ticking na Zitto anafaidi vichakani nitaona hata mjukuu mie? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hahahahahah😂😂😂yahhh

Mzee naona kawaza afu akashikwa na hasira sana😂😂

Inakuwaje ZZK anamnanii mwanangu hivi😅
 
Mkuu, ni kweli kuna wanaume wengi hawapati wanawake wa kuwaoa? Mbona katika maisha halisi wanawake ndio hawapati wanaume wa kuolewa nao? Naona hapa umeweka kwa ghadhabu tu kama za mzee Bulembo


Ndiyo! Kuna Wanaume wengi tu hasa wasio na nguvu hawapati Wanawake wa kuoa na kuendeleza kizazi, kwa Wanawake siyo kwamba hawapati wa kuwaoa bali wanachagua waolewe na nani, hivyo hiyo ndiyo tofauti,

ukiona Mwanamke yuko single na hajaolewa siyo kwamba hawezi kuolewa bali hapati Mwanaume anayetaka lkn kama Mwanamke angekubali kuolewa na Mwanaume yoyote yule kusingekuwa na Mwanamke single Dunia hii,

Ila kwa Mwanaume ni ishu labda uwe Lisokwe lenye nguvu kama Mbowe au labda Zito Kabwe pia unapora tu kama Mwanamke anataka Ubunge sharti alale naye hataki aende mwingine anasubiri, lkn kwa Mwanaume wa kawaida ni struggle kupata Mwanamke.
 
gado.jpg

Hii katuni unayopenda kuitumia watu wenye akili wamemuomba mchoraji aombe msamaha kwasababu inatia pilipili kwenye kidonda kibichi cha unyanyasaji aliofanyiwa mwafrika mwenzetu huko marekani! Acha kuitumia kwenye siasa za maji taka za Afrika. Acha ujinga mkuu!
 
Back
Top Bottom