Bulendu: Rais ana-brand utalii kimataifa, wasaidizi wake wanasema kuna ugaidi

Bulendu: Rais ana-brand utalii kimataifa, wasaidizi wake wanasema kuna ugaidi

Yaani hadi Mh. Rais aelewe kuna watu nyuma yake wanao mhujumu itakuwa too late!!!
Hivi ni mtalii gani ata kuja kwenye nchi yenye magaidi?
Tukisema Siro na genge lake wana mhujumu Mh. Rais wengine wana bisha. Ila kwa kweli Siro anatakiwa kuachia hiyo nafasi kwa heshima yake na heshima ya Taifa.
Mama mwnyw kichwa iko shida, Sasa kwa level zake ku-ekti movie si Utopolo?

She is at decision making position ila ye anaona keshafika last point. Hili linchi bado Sana!
 
Anaandika Dotto Bulendu

Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
umesahau kuna corona na watu karibuni wataokotwa barabarani
 
Anaandika Dotto Bulendu

Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
Kwani ni uongo hakuna magaidi? Kule Kibiti walikuwa kina nani?
 
Hujui lolote kuhusu utalii. Na utalii haundeshwi kisiasa, jifunze kidogo ndiyo uwe unachangia mada
Uelewa wako utakuwa unaishia hapo ulipo- lakini kwa mawada mapana-dunia ilishakubaliana hatutishwi na ugaidi- wafanye ila maisha yanaendelea.
 
Dah!

Wambula si kamteua mwenyewe? Ingekuwa amemrithi kutoka kwa hayati, wangeona anahujumiwa.
 
Anaandika Dotto Bulendu

Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
Ukiwa nje ya ccm una akili sana tatizo ukiwa ndani sasa.
Naomba niishie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaandika Dotto Bulendu

Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
Ukiona Rais wetu mpendwa yeyote anahudhuria sherehe za kuapishwa Rais wa nchi nyingine ameongozana na Kibajaji Mshauri Mkuu anayejua kusoma na kuandika ujue kuna tatizo tena kubwa sana.
 
Salaam!
Kuna jambo linalifanya napata maswali mengi ya kujihoji Kila wakati.
Mimi huwa Sina tatizo Rais kutangaza UTALII ni jambo zuri
Tatizo liko hapa mlitumia akili gani kutangaza UTALII na UGAIDI pamoja?
Askari wako wamekwepa doa ambalo liliwastahili kabisa wakatupia Taifa Zima doa la UGAIDI
Hii Ina gharama kwenye UTALII na UWEKEZAJI
JITAFAKARINI.
 
Ufaransa,
Anaandika Dotto Bulendu

Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
Ugerumani na ulaya kwa upana wake wana matukio ya kigaidi zaidi ya Tanzania, bado hatuwafikii kwa idadi ya watalii wanaoingia kwenye nchi zao. Acha woga.
 
Anaandika Dotto Bulendu

Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
Nchi kwa sasa kila mkuu wa Taasisi yoyote ni rais wa nchi. Anaweza akaamua lolote hata kama ni la kishenzi na rais hawezi kureact.
 
Anaandika Dotto Bulendu

Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
Ukishakua ccm akili inatoweka, kwa hiyo mama anamwaga maji kwenye gunia
 
Achana na mwanaharakati Dotto Bulendu- wapi hakuna ugaidi hapa duniani? Mkumbushe kuwa msimamo wa dunia ni kuwa ugaidi usitutie hofu bali tuendelee kuishi maisha yetu ili nia ovu ya magaidi ya kututia hofu ishindwe. Ndiyo maana RJMT Samia anaendelea kuchapa kazi.
Hivi CCM inakulipa kwa kuandika chochote au kwa kuandika point?
 
Hii ni moja ya alama ya kuwa na ombwe la uongozi.Huu ndio msiba mkubwa tulionao kwa sasa.
 
Katika kitu walivyo mdanganya rais Samia ni hili la ugaidi, heri yale ya uhujumu uchumi na uhaini lakini sio ugaidi.
Hii inatokana na ukosefu wa hoja za msingi katika harakati za siasa badala yake wanaamua watumie dola, na katika kuitumia hio dola wameenda mbali zaidi kitu ambacho kinawapelekea kwenye mfano wa mtu mwenye kuteka maji kwenye kisima na kuyaleta kwenye bahari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom