Bulendu: Rais ana-brand utalii kimataifa, wasaidizi wake wanasema kuna ugaidi

Mtu ana miaka zaidi ya 50 na hajawahi kuoa anakuwaje vizuri? Kwetu Bukoba mtu kama huyu akifa, tunamzika na shina la mgomba!
Wahaya mmelogwa na nani? kutwa kuwaza ngono pekee, maendeleo kwako ni ngono basi, mbona kuna watu kibao hawajaoa(mapadree na maaskofu)? acha ujinga waza maendeleo jomba
 
Mapadre na Maaskofu hicho ni kiapo dogo! Anyway, ngoja nielekee zangu Igoma kwanza nikampokee Mama!
 
Shame on you! Nchi ya watu wa ajabu kabisa ... Viongozi wanatakiwa wafanyiwe check up za akili kabla hawajapewa nafasi

Unaficha dhambi ya Jeshi la Polisi unachagua kuichafua nchi kuwa ina magaidi
CCM oyeeeeee
 
Tukiwa tunatangaza utalii, kesi ya ugaidi inanguruma mahakamani, je tutegemee nini?

Hao watalii watakujaje nchini kama juzi tu gaidi moja kawashambulia na kuwaua baadhi ya polisi wetu?

Gaidi huyo anayesemekana ni kada wa chama tawala, je tutawezaje kuwahakikishia watalii usalama wao?
 
Marekani Mbona wanatangaza utalii na Kuna kesi za watu waliopo Guantanamo za ugaidi zinaendelea
 
Back
Top Bottom