Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Mhh! Okay, kuna viwango vya hasira. Lakini kweli hivii? Nawazaga sipati majibu 🙌Ofisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi (38) ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen (36) akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara
Haha kwa wapi aiseeBiblia inasema, "uovu wa mwanamke unaonekana kwenye sura yake"
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Ukweli ukiitizama sura ya mwanamke inajieleza lakini huyo bwana mdogo alikuwa so innocent hata kwa kuonekana tu.Biblia inasema, "uovu wa mwanamke unaonekana kwenye sura yake"
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
[emoji846][emoji846][emoji846] embu niione kwa DM yangu, alafu ntakuambia kwamba kaka yetu hapa ana tatizo.Haha kwa wapi aisee
Tutizame na zetu
Kweli kabisa kaka hapo alikuwa nice man. Sasa wanawake huwa wanajuaga kimbilio la wakosefu. RIP kaka, bora ungeishi na simba kuliko mwanamke mwovu.Ukweli ukiitizama sura ya mwanamke inajieleza lakini huyo bwana mdogo alikuwa so innocent hata kwa kuonekana tu.
Mungu amrehemu.
Haitasaidia kwan mkataba unakuwa na faida sasa kama mkichokana ni kuachana?Kwa Tanzania katiba mpya itamke kutakuwa na ndoa za mkataba ,I) tukizaa mtoto mmoja tuachane,( 2 tukihisi mmoja wetu anachepuka basi tuachane.
Kwamba kuna battle inaendelea?Njombe watalipa
Naunga mkono hoja depoooMhh! Okay, kuna viwango vya hasira. Lakini kweli hivii? Nawazaga sipati majibu [emoji119]
kikulacho kinguoni mwakoOfisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi (38) ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen (36) akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara.
Inasadikika kuwa chanzo cha ugomvi huo ni mwanaume kumtuhumu mke wake kuwa ameanzisha mahusiano mengine nje ya ndoa.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa jeshi la Polisi mkoani Mara ACP Salim Morcas na amesema tayari mwanamke huyo anashikiliwa na Jeshi hilo na kwamba uchunguzi wa tukio hilo unaendelea.
View attachment 2951950
Amekaa kaa kama kajalaMke anaonekana baunsa