Bunda: Auawa na mkewe kwa kuchomwa kisu, kung'atwa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri pamoja na ulimi

Ukweli ukiitizama sura ya mwanamke inajieleza lakini huyo bwana mdogo alikuwa so innocent hata kwa kuonekana tu.

Mungu amrehemu lakini tuliobaki tunasonga mbele ndoa bado zitakuwepo tu hiyo ni ajali kama zilivyo ajali nyingine au kama leo tulipotoka makwetu asubuhi hadi muda huu giza linaingia kuna ambao hatukupata kitu na kuna ambao wamepata so yote ni matokeo mwenye mke ameuawa na mkewe na yupo mwengine anatengewa maji na mkewe akaoge muda huu.
siafikiani na hili inamaana kwa hii sura yangu ni moja kwa moja mm ni jambaz au maana hii sura yang sometimes inanitisha mm mwenyew nkijiangalia kwa kioo
 
Ofisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara.

Inasadikika kuwa chanzo cha ugomvi huo ni mwanaume kumtuhumu mke wake kuwa ameanzisha mahusiano mengine nje ya ndoa.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa jeshi la Polisi mkoani Mara ACP Salim Morcas na amesema tayari mwanamke huyo anashikiliwa na Jeshi hilo na kwamba uchunguzi wa tukio hilo unaendelea.

View attachment 2951950
Zinaa ni mauti! Watu wanajisifia eti kuchepuka! Kikristo ndoa ni mme/mke mmoja! Kama huwezi usiingie na usifanye tendo hilo kwani ni kwa waliooana nje ya hapo ni dhambi na dhambi mshahara wake ni mauti
 
Ofisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara.

Inasadikika kuwa chanzo cha ugomvi huo ni mwanaume kumtuhumu mke wake kuwa ameanzisha mahusiano mengine nje ya ndoa.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa jeshi la Polisi mkoani Mara ACP Salim Morcas na amesema tayari mwanamke huyo anashikiliwa na Jeshi hilo na kwamba uchunguzi wa tukio hilo unaendelea.

View attachment 2951950
🥺🥺🥺🥺
 
Back
Top Bottom