Wetu hawana vifaa vya Kisasa ,wa nje ni sekunde tu maana wahalifu hawawezi shindana na teknologi,Kwa mifumo ya teknologi ya watu km FBI inawezekana,wanatrack location ya gari, wanafanya backup, na vitu vingine vingine then wanawadaka wahalifu.Nawaombea wapelelezi Mungu awape weledi waweze kuwatambua wauaji
Wawe na weledi kama wenzetu wazungu huwa wanatumia akili nyingi sana
Hawa watu ni hatari sana. Ina maana intelijensia ya polisi imeshindwa kuwabaini hawa watu tangu waanze kutekeleza uharamia wao?Watu wasiojulikana
Au mapenzi,urithi wa mali, kisiasa kuna chance chache labda kama alitegemea kuwa mwanasiasa.Mambo ya visasi? Njama? Au malipizi?
Tumeshakua walevi wa siasa,badala ya kutumia akili,tunatumia siasa kutafakari kila jambo.Yaani huwa nasikitika sana nikisoma comments Za watu Kama hao. Inashangaza Sana kila mauaji ni wao,Yaani watanzania tumeshaingizwa kwenye michezo ya wanasiasa,kulaumu bila kuwa na ushahidi
Na serikali imewakamata ndo maana kila kitu mnachanganya na siasa!Toka kupotea kwake mpka kukutwa gari lake limechomwa moto wasiojulikana hawajawahi kusema lolote,hii awamu ndio wahusika na kiongozi wao hajawahi kusema lolote toka haya mauaji yameanza.
Mlimchagua wenyewe n kumsifia n kiongozi mwema kuwahi kutokea.kumbe ni kiongozi mwenye mikono iliyojaa rangi nyekundu,roho mbaya,visasi,kujifanya yeye ndio anaakili kuliko mtz yeyote
Shida ni kuwa hakuna hata nchi nyingne zaidi ya tamzania uliyowahi kuishi,Nchi si salama tena, hali hii haikubaliki iote mizizi ktk jamii yetu ya Ki-Tanzania.
Mkuu umeeleza vyema,wameshindwa kufanya siasa wamebakia kutafuta huruma kutoka kwa wananchi.Hawatafika mbali kwa sababu siasa zimewashindaSafari hii mnawaza kwa kutumia exhaust za makalio yenu,
Na serikali imewakamata kwenye makalio yenu ndo maana kila kitu mnachanganya na siasa!
Visasi vipo dunia nzima, kuna wivu wa kibiashara, wake za watu,kudhurumiana,kuibiana,siasa nk.
Mambo haya yalikuwepo na yatakuwepo bila kujali nani yupo madarakani.
Mnapotaka kila jambo liwe ki siasa ndo nazidi kuona ujuaji usio na maana,
Kila taaluma mnaijua pambaf sana.
moto wao wa kuzimu ni wa tofauti..nafikiri wa kwao utakua wa mateso makali SANAhuyu aliyeanzisha style ya kuua watu kwa kuwaweka kwa viroba...Mungu amlaani
Unafikiri kwanini kesi ikiwa inaendelea mahakamani au upelelezi ukiwa unaendelea haitakiwi kujadiliwa kwenye vyombo vya habari au ktk taasisi zingine tofauti na mahakama na vyombo vya uchunguzi?Mpelelezi ambae atapotoka kwa comments za huku JF nae lazima atakua mwanaCCM... maana si kwa ukilaza huo
Inasikitisha lakini nimejikuta nacheka tu.Waziri alishasema wanaokufa sio watanzania.
He dont give a damn shit!
Rais kasema aiy fanya kazi asile na sipokula atakufa. Labda jamaa alikuwa hafanyi kazi, ndio maana akafa
Tangu pelelezi zimefanyika hatujapata majibu ya maana. Kilichopo ni kwa familia kujipa moyo na kusonga mbele.Assumptions za nini kwenye taaluma zisizo wahusu?!. Subirini upelelezi ufanyike kwanza
Usilaumu mkuu kama kuku wako akipotea mtaani mtu wa kwanza kumuhisi ni kibaka aliye jiran yako.Yaani huwa nasikitika sana nikisoma comments Za watu Kama hao. Inashangaza Sana kila mauaji ni wao,Yaani watanzania tumeshaingizwa kwenye michezo ya wanasiasa,kulaumu bila kuwa na ushahidi