Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mambo pia tunafanya nyuma na kusahau kabisa,, tunaacha vidonda mioyoni kwa watu ,, hujui mtu anawaza nn mwishoe ndio huwa hivyo,,,, unaweza kuta ni kisas hata cha miaka 15 iliyoisha ,,watanzania hatuko Salama
ndio maana nikasema kuwa hatuko salama kwa sbabu kama tumefikia hatua yakutoana roho kama kuku tena wenyewe kwa wenyew kiasi hicho hapo kuna usalama gani mkuu...??Kuna mambo pia tunafanya nyuma na kusahau kabisa,, tunaacha vidonda mioyoni kwa watu ,, hujui mtu anawaza nn mwishoe ndio huwa hivyo,,,, unaweza kuta ni kisas hata cha miaka 15 iliyoisha ,,
Hatuwez jua pia,,
Msiwe na hofu kuwa hawatajulikana milele, utawala ukibadilika tuu wote watafahamika.watu wasiojulikana
Hakuna añayejua ni mfuasi was chama gani, lakini Habari zilizopo alichangia vizuri tuu matibabu ya Lissu kama ambavyo wapo wa Chadema,CCM na vyama vingine walivyo changia
Siyo huenda [emoji85]Huenda na ben saanane akawa marehemu kwa zile maiti zilizookotwa coco beach bila kutambuliwa wala kufanyiwa uchunguzi
hio ndio clue ya kufuta uvumi wa kifo cha kisiasa au kimaslahi. Daah common sense is no longer commonAchana na siasa kwenye kila jambo mtoto. Mtu kafa we unaulizia alikuwa chama gani. Unataka ukampe kadi ya chama chako au?
Hawa wa ki bongo wana intelligencia za kisiasa si kiuhalifuWetu hawana vifaa vya Kisasa ,wa nje ni sekunde tu maana wahalifu hawawezi shindana na teknologi,Kwa mifumo ya teknologi ya watu km FBI inawezekana,wanatrack location ya gari, wanafanya backup, na vitu vingine vingine then wanawadaka wahalifu.
UkishajuaHuyu alikuwa chama gani kwani? Wanaomfahamu watueleze alikuwa anataka ubunge au nafasi ya kisiasa? Na je anahistoria gani nyuma ya utajiri wake?