Bunge: Hali ya Utegemezi Nchini inatisha. Katika Watu 100, watu 87 ni Tegemezi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bajeti ya Bunge la Tanzania Olan Njezya amesema Haki ya Utegemezi Nchini Tanzania inatosha ambapo watu 87 kati ya 100 ni wategemezi.

Kwamba watu wenye uwezo wa kufanya kazi na Kuzalisha ni 13 tuu ndio wanawalisha watu 87.

Pia soma zaidi hapa Yusuph Mwenda: Kati ya watanzania Milioni 62, wanaolipa kodi ni Milioni 2 tu
===============
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema watu 87 kati ya 100 ni tegemezi nchini, hivyo kushauri itengwe bajeti ya kufanya utafiti wa mapato na matumizi ya kaya, ili kupata takwimu ya hali ya umaskini.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza, aliyasema hayo bungeni juzi alipokuwa akisoma maoni ya kamati kuhusu mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26 pamoja na mapendekeo ya mwongozo wa maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2025/26.

Alisema kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, idadi ya watu ilikuwa 61,741,120 mwaka 2022 na inakadiriwa kuwa ifikapo mwaka 2035 idadi ya watu nchini itakuwa 87,509,630 kutokana na ongezeko la asilimia 3.2 kila mwaka.

“Ongezeko hili la idadi ya watu nchini haliendani na ukuaji wa uchumi. Kamati inaishauri serikali kuhakikisha kwamba, ongezeko la watu linaendana na ukuaji wa uchumi kwa sababu hivi sasa, kati ya watu 100 watu 87 ni tegemezi,”alisema.

My Take
Vijana wa kiume ndio wamegeuka wategemezi hawataki kufanya kazi ngumu za uzalishaji badala yake wanawake ndio wanapambana.

Taifa liko mashakani ikiwa Nguvu kazi haipo na Kasi ya kuzaana inazidi kuongezeka.

Snapinsta.app_465179886_1490089794985024_454917664059021478_n_1080.jpg

Pia soma Tanzania Yashika namba 6 kwenye Orodha ya Nchi 10 Ambazo Zitachangia Idadi Kubwa ya Watu Duniani Mwaka 2037.
 
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bajeti ya Bunge la Tanzania Olan Njezya amesema Haki ya Utegemezi Nchini Tanzania inatosha ambapo watu 87 kati ya 100 ni wategemezi.

Kwamba watu wenye uwezo wa kufanya kazi na Kuzalisha ni 13 tuu ndio wanawalisha watu 87.
===============
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema watu 87 kati ya 100 ni tegemezi nchini, hivyo kushauri itengwe bajeti ya kufanya utafiti wa mapato na matumizi ya kaya, ili kupata takwimu ya hali ya umaskini.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza, aliyasema hayo bungeni juzi alipokuwa akisoma maoni ya kamati kuhusu mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26 pamoja na mapendekeo ya mwongozo wa maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2025/26.

Alisema kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, idadi ya watu ilikuwa 61,741,120 mwaka 2022 na inakadiriwa kuwa ifikapo mwaka 2035 idadi ya watu nchini itakuwa 87,509,630 kutokana na ongezeko la asilimia 3.2 kila mwaka.

“Ongezeko hili la idadi ya watu nchini haliendani na ukuaji wa uchumi. Kamati inaishauri serikali kuhakikisha kwamba, ongezeko la watu linaendana na ukuaji wa uchumi kwa sababu hivi sasa, kati ya watu 100 watu 87 ni tegemezi,”alisema.

My Take
Vijana wa kiume ndio wamegeuka wategemezi hawataki kufanya kazi ngumu za uzalishaji badala yake wanawake ndio wanapambana.

Taifa liko mashakani ikiwa Nguvu kazi haipo na Kasi ya kuzaana inazidi kuongezeka.

View attachment 3142775

Hakika mama anaupiga mwingi. Mama mikumi tena😭😭😭
 
Chini ya utawala wa CCM kila kitu kinawezekana. Hata ikifikia utegemezi wa mtu 1 kwa watu 1,000 haitakuwa kitu cha ajabu, kutokana uwekezaji katika ujinga uliokwisha kufanyika katika miaka yote chini ya utawala wake.
Ni lini mnaojiita Wapinzani mliwahi kuwa na njia mbadala mkauza Kwa jamii tofauti na ujinga mwingi mlionao?
 
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bajeti ya Bunge la Tanzania Olan Njezya amesema Haki ya Utegemezi Nchini Tanzania inatosha ambapo watu 87 kati ya 100 ni wategemezi.

Kwamba watu wenye uwezo wa kufanya kazi na Kuzalisha ni 13 tuu ndio wanawalisha watu 87.
===============
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema watu 87 kati ya 100 ni tegemezi nchini, hivyo kushauri itengwe bajeti ya kufanya utafiti wa mapato na matumizi ya kaya, ili kupata takwimu ya hali ya umaskini.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza, aliyasema hayo bungeni juzi alipokuwa akisoma maoni ya kamati kuhusu mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26 pamoja na mapendekeo ya mwongozo wa maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2025/26.

Alisema kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, idadi ya watu ilikuwa 61,741,120 mwaka 2022 na inakadiriwa kuwa ifikapo mwaka 2035 idadi ya watu nchini itakuwa 87,509,630 kutokana na ongezeko la asilimia 3.2 kila mwaka.

“Ongezeko hili la idadi ya watu nchini haliendani na ukuaji wa uchumi. Kamati inaishauri serikali kuhakikisha kwamba, ongezeko la watu linaendana na ukuaji wa uchumi kwa sababu hivi sasa, kati ya watu 100 watu 87 ni tegemezi,”alisema.

My Take
Vijana wa kiume ndio wamegeuka wategemezi hawataki kufanya kazi ngumu za uzalishaji badala yake wanawake ndio wanapambana.

Taifa liko mashakani ikiwa Nguvu kazi haipo na Kasi ya kuzaana inazidi kuongezeka.

View attachment 3142775

Pia soma Tanzania Yashika namba 6 kwenye Orodha ya Nchi 10 Ambazo Zitachangia Idadi Kubwa ya Watu Duniani Mwaka 2037.
Jamii inasemaje kuhusu vijana wenye nguvu
 
Mwanaume kaoa, ila anategemewa na baba, mama, wadogo zake, shangazi, mjomba bibi n.k chain ni ndefu.

Jamii ina amini kwamba yupo mtu mahususi wa kutatua shida zao, na asipofanya hivyo, analaumiwa.
Tukubaliane hili ni tatizo la kijamij na sio la chama Fulani kama wenye kuelewa finyu wanavyotaka kutuaminisha hapa
 
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bajeti ya Bunge la Tanzania Olan Njezya amesema Haki ya Utegemezi Nchini Tanzania inatosha ambapo watu 87 kati ya 100 ni wategemezi.

Kwamba watu wenye uwezo wa kufanya kazi na Kuzalisha ni 13 tuu ndio wanawalisha watu 87.
===============
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema watu 87 kati ya 100 ni tegemezi nchini, hivyo kushauri itengwe bajeti ya kufanya utafiti wa mapato na matumizi ya kaya, ili kupata takwimu ya hali ya umaskini.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza, aliyasema hayo bungeni juzi alipokuwa akisoma maoni ya kamati kuhusu mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26 pamoja na mapendekeo ya mwongozo wa maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2025/26.

Alisema kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, idadi ya watu ilikuwa 61,741,120 mwaka 2022 na inakadiriwa kuwa ifikapo mwaka 2035 idadi ya watu nchini itakuwa 87,509,630 kutokana na ongezeko la asilimia 3.2 kila mwaka.

“Ongezeko hili la idadi ya watu nchini haliendani na ukuaji wa uchumi. Kamati inaishauri serikali kuhakikisha kwamba, ongezeko la watu linaendana na ukuaji wa uchumi kwa sababu hivi sasa, kati ya watu 100 watu 87 ni tegemezi,”alisema.

My Take
Vijana wa kiume ndio wamegeuka wategemezi hawataki kufanya kazi ngumu za uzalishaji badala yake wanawake ndio wanapambana.

Taifa liko mashakani ikiwa Nguvu kazi haipo na Kasi ya kuzaana inazidi kuongezeka.

View attachment 3142775

Pia soma Tanzania Yashika namba 6 kwenye Orodha ya Nchi 10 Ambazo Zitachangia Idadi Kubwa ya Watu Duniani Mwaka 2037.
Shetani huwa hana aibu
 
Tukubaliane hili ni tatizo la kijamij na sio la chama Fulani kama wenye kuelewa finyu wanavyotaka kutuaminisha hapa
Hili tatizo siyo la vyama bali ni jamii yetu ya kanyaga twende, yaani jamii ambayo inashindwa kuchanganua mawazo chanya na hasi, lakini kwasasa angalau imeanza kukalamka ni kawaida binadamu akipata tatizo ama changamoto, (uncertainty), huamsha ubongo.

Matatizo na changamoto tunazo kabiliana nazo zinatufanya tufikiri zaidi na zaidi na tunapo fanya hivyo tuna buni mbinu kuweza kukabiliana na changamoto zilizopo na zinazo kuja
 
Back
Top Bottom