BEZO
JF-Expert Member
- Jul 15, 2023
- 1,770
- 4,449
Usipende kudandia comments za wanaume kwa nyuma. Utafanywa kitu mbayaSasa wewe umemjuaje mama yake? Sioni anavyohusika hapo wakati humjui, mnashindwa kubishana kwa hoja zakueleweka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipende kudandia comments za wanaume kwa nyuma. Utafanywa kitu mbayaSasa wewe umemjuaje mama yake? Sioni anavyohusika hapo wakati humjui, mnashindwa kubishana kwa hoja zakueleweka?
Wewe ni mzazi boya, unamtimua na ndo huyo anakuja kuwa tegemezi wa wengine? Kwanini hukumfundisha kujiajiri tangu akiwa mdogo ili aondoke mwenyewe mpaka umfukuze? Huoni kwamba wewe ndo fyatu tegemezi mnazungumzwa humu?Ndio ni wavivu, kazi za kujiajiri ziko lundo ndio wakajiajiri sio kusubiria kuajiriwa.
Mimi siwezi fuga mtoto amemaliza shule nyumbani namtimua.
Hizi sentensi za hivi nimezisoma na kuzisikia kwenye mazungumzo miaka mingi sana Chief 😄, badilisha hizi lugha zilizokwisha kupitwa na wakatiUsipende kudandia comments za wanaume kwa nyuma. Utafanywa kitu mbaya
Utamfikiaje fisadi ikiwa analindwa na bunduki za polisi ambao mnawalipa mishahara kwa kodi zenu?21) Hiyo ya watu kuiba oesa na kula, sheria ya kuuwana tu wanaofanya ufosadi ikipitishwa, ufisadi utakoma.
Nawashangaa wananchi, wana ubavu wa kumuua mpaka kumchoma moto anaewaibia chupi au simu lakini hawana ubavu wa kuchoma moto wanaowaibia mabilioni.
Huo ndiyo ujinga wa Mtanzania.
Hilo la kodi ya flat rate, maana yqke analipia kipato chake. Anatumia nini kama hana kipato? Ni lazima kuna anapozipata.
Hiyo kodi iite vyovyoge utakavyo haijalishi. Iwe ya kichewa, ya miguu, ya kipato, Sito tatizo.
Huyo mwendawazimu hana mtoto, ndio maana anaongea mashudu namna hio.Wewe ni mzazi boya, unamtimua na ndo huyo anakuja kuwa tegemezi wa wengine? Kwanini hukumfundisha kujiajiri tangu akiwa mdogo ili aondoke mwenyewe mpaka umfukuze? Huoni kwamba wewe ndo fyatu tegemezi mnazungumzwa humu?