Bunge: Hali ya Utegemezi Nchini inatisha. Katika Watu 100, watu 87 ni Tegemezi

Tanzania audui yetu mkuu ni ujinga, tu wjinga sana. Hususan waliopo serikalini.

Tatizo ni mfumo wetu wa kodi. Wizara ya fedha hakuna ubunifu kabisa wa kuja na mfumo utaowawezesha wengi kulipa kodi.

Ni simpo sana. Kila mtu alipe 10% across toka anapowacha kusoma tu.

Kila biashara, unaponunuwa na kuuza na mapato ya kila mwaka ni hiyo hiyo kumi kwa mia tu, sijui ujeagiza bidhaa uchina India iwe pini ya nywele au ndege, hiyo hiyo tu 10 kwa mia.

Hakuna hesabu nyinginde wala hakuna exemption. hsijalishi mytu ana kazi au hana, anpewa dsadaka au anaiba. Ni lazima ajaze fomu ya kodi ya mapato kila miezi sita , mapato yoyote ayatakayoonesha na yanayokubalika kisheria ni lazima ayalipie kumi kwa mia.

Futa tozo na upuuzi mwengine wote. Sijuwi mkulima umeuza mazao, kumi kwa mia ya kipato chako kwa mwaka. hakuna msamaha hakuna tozo zingine.
 
Ajira zipo ila jamii ya Watanzania ni watu wavivi sana.

Bahati nzuri au mbaya hata nyie mnaojiita Wapinzani hamjawahi kuwa na kitu tangible Ili watu wawaelewe ni kuganga njaa Kwa kwenda mbele.
Kazi za kufanya zipo za kutosha sana ila ajira chache. Kilimo kinaongoza kwa kutoa kazi za kutosha kikifuatiwa na sekta nyingine za ujasiriamali, ufundi, ufugaji, uvuvi, usafirishaji, nk.
 
Sahizi kuna kundi kubwa ambalo linakula na kusaza ndio maana unaona watu hawana muamko wa kudai haki zao wanaona bora liende tu. Wachache ndio wanaoumizwa na extreme poverty.

Siku zote kuwa kitanzini na njaa ikiuma vizuri ndio huwa inamfanya mtu apate akili ya kujitafuta. Ukilala njaa siku 2/3 huwezi kujiuliza sana lazma utafanya maamuzi ya kujiokoa uhai wako bila kujali lolote lazma upambane na mtesi wako ili uwe huru. Sasa jiulize mkiwa kundi kubwa na similar motive hali itakuwaje? Mabadiliko yatatokea tu.

Sahizi tumegawanywa kimakundi, wengi ni wasaliti wanaopumbazwa na hongo za watesi wetu ili kuwahadaa raia kwamba maisha wanayoishi yako sawa ila kimsingi ni uongo wa dhahiri. Ipo siku watu wataongea lugha moja tu.
Mimi nimekuwa nafuatilia kwanini biashara zinakufa ama kutofanya vizuri pamoja na kwamba darasani tunajifunza kwamba aslimia 80 ya mafanikio yana mtegemea mjasiriamali lakini asilimia 20 kwasasa, (of recently), ina nguvu hata kuua biashara.

Wataalamu walisha gundua mambo makuu 4, yaliyo jificha yanayoweza sababisha biasha zikue ama kufa, wiki mbili zilizopita nimeliona jingine kwahiyo yatakuwa 5 moja wapo ni maamuzi ya kisiasa kumbe maazimu ya kiasiasa yanaweza sababisha biashara zikuwe ama kufa baada ya kufuatilia nini kifanyike jibu ni jamii ndiyo inaweza kulitatua hili tatizo, jamii ikiendelea kunyamaza, tutaendelea hivi hivi, swali fikirishi je jamii itaendelea kunyamaza ama kunyamazishwa hadi lini?,

Washika tonge wameweka pamba masikioni hawawezi kutafuta suluhu kwa jambo wanalolijua, tena watakushughulikia wakigundua unataka kuwanyang'anya tonge, (ostracism)

Silence surrenders public responsibilities
 
Tanzania audui yetu mkuu ni ujinga, tu wjinga sana. Hususan waliopo serikalini.

Tatizo ni mfumo wetu wa kodi. Wizara ya fedha hakuna ubunifu kabisa wa kuja na mfumo utaowawezesha wengi kulipa kodi.

Ni simpo sana. Kila mtu alipe 10% across toka anapowacha kusoma tu.

Kila biashara, unaponunuwa na kuuza na mapato ya kila mwaka ni hiyo hiyo kumi kwa mia tu, sijui ujeagiza bidhaa uchina India iwe pini ya nywele au ndege, hiyo hiyo tu 10 kwa mia.

Hakuna hesabu nyinginde wala hakuna exemption. hsijalishi mytu ana kazi au hana, anpewa dsadaka au anaiba. Ni lazima ajaze fomu ya kodi ya mapato kila miezi sita , mapato yoyote ayatakayoonesha na yanayokubalika kisheria ni lazima ayalipie kumi kwa mia.

Futa tozo na upuuzi mwengine wote. Sijuwi mkulima umeuza mazao, kumi kwa mia ya kipato chako kwa mwaka. hakuna msamaha hakuna tozo zingine.
Kodi ilipwe muda huohuo unapo toa huduma ama pata huduma kama vile miamala ya simu hakuna haja ya rundo la wafanyakazi wa TRa, natamani hapo baadae kodi ilipwe kama vile michango ya harusi ambao ukiambiwe ulipe milioni moja sema mimi nitalipa milioni 5
 
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bajeti ya Bunge la Tanzania Olan Njezya amesema Haki ya Utegemezi Nchini Tanzania inatosha ambapo watu 87 kati ya 100 ni wategemezi.

Kwamba watu wenye uwezo wa kufanya kazi na Kuzalisha ni 13 tuu ndio wanawalisha watu 87.

Pia soma zaidi hapa Yusuph Mwenda: Kati ya watanzania Milioni 62, wanaolipa kodi ni Milioni 2 tu
===============
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema watu 87 kati ya 100 ni tegemezi nchini, hivyo kushauri itengwe bajeti ya kufanya utafiti wa mapato na matumizi ya kaya, ili kupata takwimu ya hali ya umaskini.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza, aliyasema hayo bungeni juzi alipokuwa akisoma maoni ya kamati kuhusu mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26 pamoja na mapendekeo ya mwongozo wa maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2025/26.

Alisema kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, idadi ya watu ilikuwa 61,741,120 mwaka 2022 na inakadiriwa kuwa ifikapo mwaka 2035 idadi ya watu nchini itakuwa 87,509,630 kutokana na ongezeko la asilimia 3.2 kila mwaka.

“Ongezeko hili la idadi ya watu nchini haliendani na ukuaji wa uchumi. Kamati inaishauri serikali kuhakikisha kwamba, ongezeko la watu linaendana na ukuaji wa uchumi kwa sababu hivi sasa, kati ya watu 100 watu 87 ni tegemezi,”alisema.

My Take
Vijana wa kiume ndio wamegeuka wategemezi hawataki kufanya kazi ngumu za uzalishaji badala yake wanawake ndio wanapambana.

Taifa liko mashakani ikiwa Nguvu kazi haipo na Kasi ya kuzaana inazidi kuongezeka.

View attachment 3142775

Pia soma Tanzania Yashika namba 6 kwenye Orodha ya Nchi 10 Ambazo Zitachangia Idadi Kubwa ya Watu Duniani Mwaka 2037.
Shida ni watu wachache kujilimbikizia mali za umma kwa njia haramu na kutochukuliwa hatua kutokana na wanatakiwa kuwachukulia hatua nao kunufaika na ubathirifu huo wa mali za umma.
 
Inahusikaje na Utegemezi?
 
Pambio za mama zinahusikaje na mada hii?
Zinahusika sana Kila siku mnampamba wenyewe kuwa ametuvusha halafu mnaleta takwimu za utegemezi vip huo anaoupiga mwingi hauhusiani na hizi takwimu?? Tupunguze uchawa tuambiane ukweli tusonge kama nchi
 
Inahusikaje na Utegemezi?
Wabathirifu wanavuja mali ya umma ambayo ingetumika kuleta maendeleo, kutengeneza nafasi za ajira, kutengeneza maeneo ya kutibu wananchi na kutengeneza miundombinu mbalimbali ikiwemo barabara na mawasiliano.
 
Tanzania audui yetu mkuu ni ujinga, tu wjinga sana. Hususan waliopo serikalini.

Tatizo ni mfumo wetu wa kodi. Wizara ya fedha hakuna ubunifu kabisa wa kuja na mfumo utaowawezesha wengi kulipa kodi.
Kama hata kinachokusanywa kinapotea na hakuna value for money hata kikikusanywa zaidi bado kitapotea...

Ni simpo sana. Kila mtu alipe 10% across toka anapowacha kusoma tu.
Alipe 10 percent ya kitu gani (yaani flat fee au kipato chake ambacho kama hakipo officially basi ni 0) au unamaanisha Kodi ya Kichwa ?
 
Uzuri humu JF hawapo hao. Huku wote mambo safii, watu wanaopendwa na wake za watu na wanawake wazuri, Ma GT.
 
Ajira zipo ila jamii ya Watanzania ni watu wavivi sana.

Bahati nzuri au mbaya hata nyie mnaojiita Wapinzani hamjawahi kuwa na kitu tangible Ili watu wawaelewe ni kuganga njaa Kwa kwenda mbele.
Unapaswa kujua kuwa jukumu la kutoa elimu bora ya kumfanya mtu akabiliane na changamoto za maisha ikiwemo kujua palipo na fursa ya ajira ni serikali hii ambayo ipo chini ya ilani ya ccm. Na isivyo bahati tangu 1961 Hadi sasa muda ni mrefu ccm wakiongiza na matokeo yake ndiyo hayo.

Kuulaumu upinzani kwamba hawana walichokifanya bi kujitoa ufahamu kwa maksudi kwa kuwa wapinzani hawajawahi kupata fursa ya kutekeleza sera zao ktk kuendesha serikali.
 
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bajeti ya Bunge la Tanzania Olan Njezya amesema Haki ya Utegemezi Nchini Tanzania inatosha ambapo watu 87 kati ya 100 ni wategemezi.

Kwamba watu wenye uwezo wa kufanya kazi na Kuzalisha ni 13 tuu ndio wanawalisha watu 87.

Pia soma zaidi hapa Yusuph Mwenda: Kati ya watanzania Milioni 62, wanaolipa kodi ni Milioni 2 tu
===============
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema watu 87 kati ya 100 ni tegemezi nchini, hivyo kushauri itengwe bajeti ya kufanya utafiti wa mapato na matumizi ya kaya, ili kupata takwimu ya hali ya umaskini.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza, aliyasema hayo bungeni juzi alipokuwa akisoma maoni ya kamati kuhusu mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26 pamoja na mapendekeo ya mwongozo wa maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2025/26.

Alisema kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, idadi ya watu ilikuwa 61,741,120 mwaka 2022 na inakadiriwa kuwa ifikapo mwaka 2035 idadi ya watu nchini itakuwa 87,509,630 kutokana na ongezeko la asilimia 3.2 kila mwaka.

“Ongezeko hili la idadi ya watu nchini haliendani na ukuaji wa uchumi. Kamati inaishauri serikali kuhakikisha kwamba, ongezeko la watu linaendana na ukuaji wa uchumi kwa sababu hivi sasa, kati ya watu 100 watu 87 ni tegemezi,”alisema.

My Take
Vijana wa kiume ndio wamegeuka wategemezi hawataki kufanya kazi ngumu za uzalishaji badala yake wanawake ndio wanapambana.

Taifa liko mashakani ikiwa Nguvu kazi haipo na Kasi ya kuzaana inazidi kuongezeka.

View attachment 3142775

Pia soma Tanzania Yashika namba 6 kwenye Orodha ya Nchi 10 Ambazo Zitachangia Idadi Kubwa ya Watu Duniani Mwaka 2037.
Samia mitano tena
 
Back
Top Bottom