Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Noma Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa uzalishaji si ndio utaleta ujira ? Au mwenzangu unawaza nini..., ndio maana nimekwambia inahitajika Sera za kuhakikisha watu wanapata ujira wa kuweza kukidhi basic needs zao..., Cha ajabu hata wengine wanaocheza pata potea (mfano wakulima wa vanila) wanakuta Soko hamna..., au wengine wameshalima wanapelekewa mbolea ambazo hazifai....Unawaza ujira badala ya kuwaza uzalishaji? Nyie mbumbumbu ndio mnasababisha Utegemezi
Uzalishaji utakuja Kwa kuwaza Ajira za ofisini kama unavyosema?Sasa uzalishaji si ndio utaleta ujira ? Au mwenzangu unawaza nini..., ndio maana nimekwambia inahitajika Sera za kuhakikisha watu wanapata ujira wa kuweza kukidhi basic needs zao..., Cha ajabu hata wengine wanaocheza pata potea (mfano wakulima wa vanila) wanakuta Soko hamna..., au wengine wameshalima wanapelekewa mbolea ambazo hazifai....
Nadhani mpaka hapo utaona common denominator ni ipi.., na kama huwezi kuona takusaidia..., Ni watumishi wetu / walamba asali / watunga sera ambao wameshindwa kuja na sera as well as jinsi ya kuhakikisha hii Keki ya Taifa angalau hata makombo yanamfikia kila mtu...
Ila ndio hivyo wote wameshageuka machawa na madalali
Haaaaaaaa...au 0 Kwa 100 ili wote tukae maskani tukufe Kwa njaaBado inatakiwa ifike ratio ya 1 kwa 99 ili kusudi lifanyike jambo la kimiujiza.😄
Nani kaongelea ofisi ? Nimeongelea wakulima wa Vanila unadhani kama mwenzako kalima kipindi cha mavuno masoko hakuna wangapi watakwenda kulima msimu unaofuata ?Uzalishaji utakuja Kwa kuwaza Ajira za ofisini kama unavyosema?
Hakuna uwezekano wa kila mtu kujiajiri hii ni utopian idea ambayo wanatumia watunga sera kwa kushindwa kutumiza wajibu wao na kuhamishia kwa wananchi..., kwanza sasa hivi wala huitaji kuwa mbunifu everything is out there and its repetition, lakini kwa nchi ambayo watu hawana disposable income competition ya uchuuzi inayofanyika kinachopatika sio fit for purpose...Sera zinazohitajika na ambazo kimsingi zipo ni za kutimiza watu kujiajiri ,kuwa wabunifu na kuajiri wengine wachache ambao wameshindwa kujiajiri.
Nyie ndio mnasababisha Utegemezi
Moja hio Simba na Yanga ni Sports industry na watunga Sera wangekuwa na akili wangeweza kutumia hio kuongeza ujira wa watu....Katika nchi ambayo watu wake kila sehemu maongezi yao ni Simba na Yanga asubuhi hadi usiku,Katika nchi ambayo bodaboda na betting nazo zimefanywa kazi Kwa vijana,Katika ambayo anaejitahidi ktengeneza gari(Masoud) hatambuliki na watawala lakini madalali WA magari(Dotto) na machawa kina Mwijaku wanapata mialiko kama role model wa vijana. WATU WATAWEZA VIPI KUJITEGEMEA...YAANI BAADA YA KUMUONYESHA KIJANA UTHUBUTU WA KIPANYA KUTENGENEZA GARI UNAMUONYESHA NA HAPA IPO AU UMEPOAAAAAA
CCM OYEEEMwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bajeti ya Bunge la Tanzania Olan Njezya amesema Haki ya Utegemezi Nchini Tanzania inatosha ambapo watu 87 kati ya 100 ni wategemezi.
Kwamba watu wenye uwezo wa kufanya kazi na Kuzalisha ni 13 tuu ndio wanawalisha watu 87.
Pia soma zaidi hapa Yusuph Mwenda: Kati ya watanzania Milioni 62, wanaolipa kodi ni Milioni 2 tu
===============
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema watu 87 kati ya 100 ni tegemezi nchini, hivyo kushauri itengwe bajeti ya kufanya utafiti wa mapato na matumizi ya kaya, ili kupata takwimu ya hali ya umaskini.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza, aliyasema hayo bungeni juzi alipokuwa akisoma maoni ya kamati kuhusu mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26 pamoja na mapendekeo ya mwongozo wa maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2025/26.
Alisema kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, idadi ya watu ilikuwa 61,741,120 mwaka 2022 na inakadiriwa kuwa ifikapo mwaka 2035 idadi ya watu nchini itakuwa 87,509,630 kutokana na ongezeko la asilimia 3.2 kila mwaka.
“Ongezeko hili la idadi ya watu nchini haliendani na ukuaji wa uchumi. Kamati inaishauri serikali kuhakikisha kwamba, ongezeko la watu linaendana na ukuaji wa uchumi kwa sababu hivi sasa, kati ya watu 100 watu 87 ni tegemezi,”alisema.
My Take
Vijana wa kiume ndio wamegeuka wategemezi hawataki kufanya kazi ngumu za uzalishaji badala yake wanawake ndio wanapambana.
Taifa liko mashakani ikiwa Nguvu kazi haipo na Kasi ya kuzaana inazidi kuongezeka.
View attachment 3142775
Pia soma Tanzania Yashika namba 6 kwenye Orodha ya Nchi 10 Ambazo Zitachangia Idadi Kubwa ya Watu Duniani Mwaka 2037.
Ikifika ratio hiyo, ndiyo safi, jamii yenyewe itasema sasa inataosha, (mafuvu yatakapo rudishiwa akili)Bado inatakiwa ifike ratio ya 1 kwa 99 ili kusudi lifanyike jambo la kimiujiza.😄
Kwa hiyo kufeli kwa CCM ndiyo wakinzani wanahusikaje?😂😂Ni lini mnaojiita Wapinzani mliwahi kuwa na njia mbadala mkauza Kwa jamii tofauti na ujinga mwingi mlionao?
Sahizi kuna kundi kubwa ambalo linakula na kusaza ndio maana unaona watu hawana muamko wa kudai haki zao wanaona bora liende tu. Wachache ndio wanaoumizwa na extreme poverty.Ijkifika ratio hiyo, ndiyo safi, jamii yenyewe itasema sasa inataosha, (mafuvu yatakapo rudishiwa akili)
Silent society, (jamii iliyo nyamazi), ama nyamazisha, swali fikirishi jamii itaendelea kunyamaza hadi lini?, je madhara ya jamii kunyamaza tunayajua?
For how long should society remain silence, in reality though silence surrenders public responsibilities
Tatizo letu kubwa ni ubinafsi, hayo masoko wenye rights za export ukifuatilia utakuta ni mafisadi wa Mboga mboga. Wewe kajamba nani huwezi kuruhusiwa kupeleka huko🤣 ili wao wafanye biashara kwa uhuru.Mimi nadhani kuondoa hii hali ambayo kwa kiasi kikubwa sana inachangiwa na ukosefu wa AJIRA..
Serikali kwa makusudi kabisa ingeandaa mpango wa TAIFA wa kuanisha maeneo yenye uzalishaji kiuchumi na yenye masoko ya wazi kabisa na kuandaa program za kutoa Mikopo ya bila RIBA KWA VIJANA NA WANAWAKE kwenye maeneo ya uchumi zalishi ili Uzalishaji huo unyanyue uchumi wa wakopeshwaji na UCHUMI WA TAIFA KWA UJUMLA
1.SOKO KUBWA LA SOYA CHINA ambalo linataka tani 400,000 kila mwaka ili hali Tanzania inazalisha tani 20,000 tu kwa sasa yaani kuna uhaba wa tani 380,000 kujaza soko hilo tulilopewa tangu 2017...
2.Soko la $387,000,000 kila mwaka la mihogo CHINA ambalo nalo tangu tupewe na China 2017 hadi sasa hatuuzi mihogo hiyo hata 10% tu na wanaihitaji sana..
3.Uzalishaji wa miwese ya kutoa mafuta na kuziba pengo la uhaba wa mafuta ya kula Tanzania ambapo taifa linaagiza kwa pesa ya kigeni $800,000,000 kila mwaka kutoka Malaysia na Indonesia na cha kushangaza Indonesia mwaka 1972 walikuja kigoma na kuchukua mbegu za miwese na sasa wanatuuzia sisi mafuta ya KORIE🤷🏾♀️🤷🏾♀️
Mifano ni mingi sana ambayo kama Taifa lingeamua kuwekeza kwa nguvu kazi iliyo tegemezi sasa kwa kuwa tu haina mitaji ili hali cha kuzalisha kipo kwa kuwatumia activation ya uchumi wa Taifa ingekuwa kubwa sana
Fikiria tu $ zitakazoingia kwa kuuza tani 400,000 za soya China...
Kuuza muhogo wa $3787M
Kuokoa $800M kwa kuhakikisha tunajitosheleza kwa mafuta ya kula na hata kuyauza nje....
Nchi zetu hizi ambazo hazina viwanda vya uzalishaji na kutoa ajira nchi ambazo hata tooth picks na ndala tunaagiza China na hivyo watu kukosa kuajiriwa viwandani inatakiwa TUJIKITE sana kwenye masoko ya chakula ili tujilishe na tulishe Africa na dunia...
Bara la Africa kila mwaka linatumia
$ bilioni 30 kuagiza chakula nje ya Africa 🤷🏾♀️🤷🏾♀️ hii ni aibu ukizingatia jiografia ya hali ya hewa ya kiprotokali inayostawi karibia kila kitu..
Tanzania/Africa Iamke na ilishe dunia
Lakini hii aibu ya theluthi moja ya bara la Africa kulishwa na ngano ya UKRAINE NA RUSIA...tusipotoka hapo tutakuwa watumwa kisiasa na kiuchumi milele..
Maana ukiwa na njaa wewe ni Automatically MTUMWA.
Huyo shoga ni chawa wa mbogamboga hana akili hata kidogo, yeye ni kubisha tu bila fact.Na hao ndio wale watu 13 katika watu 100...., Yaani inahitaji upofu wa hali ya juu kutokuona kwamba mambo hayapo sawa na upuuzi wa sasa utalicost taifa na viongozi wa kesho..., Yaani kutokuwa na Sera za kuwezesha nguvu kazi ya sasa kutokuwa na ujira wa uhakika hivyo watu kutokuwa pensionable itapelekea mzigo kwa taifa la kesho kuwa na wazee ombaomba....
Ustawi wa Jamii: Tunajiandaa Vipi na Kuzuia Wimbi la Wazee Ombaomba wa Kesho ?
Wahenga walisea Mchumia Juani Hulia Kivulini; Ila nadhani hawaku-consider kama cha kuchuma hakipo inakuwaje...; Baba wa Taifa alisema katika Hotuba ya TANU (ambayo ndio Baba wa huyu CCM anayetawala Leo) CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia...www.jamiiforums.com
kwanini usiseme serikali inafail kwenye sera za ajira kwa wananchi wake?My Take
Vijana wa kiume ndio wamegeuka wategemezi hawataki kufanya kazi ngumu za uzalishaji badala yake wanawake ndio wanapambana
Duh! Kazi kweli kweli!Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bajeti ya Bunge la Tanzania Olan Njezya amesema Haki ya Utegemezi Nchini Tanzania inatosha ambapo watu 87 kati ya 100 ni wategemezi.
Kwamba watu wenye uwezo wa kufanya kazi na Kuzalisha ni 13 tuu ndio wanawalisha watu 87.
Pia soma zaidi hapa Yusuph Mwenda: Kati ya watanzania Milioni 62, wanaolipa kodi ni Milioni 2 tu
===============
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema watu 87 kati ya 100 ni tegemezi nchini, hivyo kushauri itengwe bajeti ya kufanya utafiti wa mapato na matumizi ya kaya, ili kupata takwimu ya hali ya umaskini.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza, aliyasema hayo bungeni juzi alipokuwa akisoma maoni ya kamati kuhusu mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26 pamoja na mapendekeo ya mwongozo wa maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2025/26.
Alisema kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, idadi ya watu ilikuwa 61,741,120 mwaka 2022 na inakadiriwa kuwa ifikapo mwaka 2035 idadi ya watu nchini itakuwa 87,509,630 kutokana na ongezeko la asilimia 3.2 kila mwaka.
“Ongezeko hili la idadi ya watu nchini haliendani na ukuaji wa uchumi. Kamati inaishauri serikali kuhakikisha kwamba, ongezeko la watu linaendana na ukuaji wa uchumi kwa sababu hivi sasa, kati ya watu 100 watu 87 ni tegemezi,”alisema.
My Take
Vijana wa kiume ndio wamegeuka wategemezi hawataki kufanya kazi ngumu za uzalishaji badala yake wanawake ndio wanapambana.
Taifa liko mashakani ikiwa Nguvu kazi haipo na Kasi ya kuzaana inazidi kuongezeka.
View attachment 3142775
Pia soma Tanzania Yashika namba 6 kwenye Orodha ya Nchi 10 Ambazo Zitachangia Idadi Kubwa ya Watu Duniani Mwaka 2037.