BEZO
JF-Expert Member
- Jul 15, 2023
- 1,770
- 4,449
Muulize Mama yako,ananijua vizuri.Wewe una akili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize Mama yako,ananijua vizuri.Wewe una akili?
Una akili?Muulize Mama yako,ananijua vizuri.
Hili nalo kalisema au umechomekea tu kwa uzoefu wakoVijana wa kiume ndio wamegeuka wategemezi hawataki kufanya kazi ngumu za uzalishaji badala yake wanawake ndio wanapambana.
Taifa liko mashakani ikiwa Nguvu kazi haipo na Kasi ya kuzaana inazidi kuongezeka.
Muulize Mama yako,ananijua vizuri.Una akili?
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bajeti ya Bunge la Tanzania Olan Njezya amesema Haki ya Utegemezi Nchini Tanzania inatosha ambapo watu 87 kati ya 100 ni wategemezi.
Kwamba watu wenye uwezo wa kufanya kazi na Kuzalisha ni 13 tuu ndio wanawalisha watu 87.
===============
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema watu 87 kati ya 100 ni tegemezi nchini, hivyo kushauri itengwe bajeti ya kufanya utafiti wa mapato na matumizi ya kaya, ili kupata takwimu ya hali ya umaskini.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza, aliyasema hayo bungeni juzi alipokuwa akisoma maoni ya kamati kuhusu mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26 pamoja na mapendekeo ya mwongozo wa maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2025/26.
Alisema kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, idadi ya watu ilikuwa 61,741,120 mwaka 2022 na inakadiriwa kuwa ifikapo mwaka 2035 idadi ya watu nchini itakuwa 87,509,630 kutokana na ongezeko la asilimia 3.2 kila mwaka.
“Ongezeko hili la idadi ya watu nchini haliendani na ukuaji wa uchumi. Kamati inaishauri serikali kuhakikisha kwamba, ongezeko la watu linaendana na ukuaji wa uchumi kwa sababu hivi sasa, kati ya watu 100 watu 87 ni tegemezi,”alisema.
My Take
Vijana wa kiume ndio wamegeuka wategemezi hawataki kufanya kazi ngumu za uzalishaji badala yake wanawake ndio wanapambana.
Taifa liko mashakani ikiwa Nguvu kazi haipo na Kasi ya kuzaana inazidi kuongezeka.
View attachment 3142775
Pia soma Tanzania Yashika namba 6 kwenye Orodha ya Nchi 10 Ambazo Zitachangia Idadi Kubwa ya Watu Duniani Mwaka 2037.

Sijawahi kusikia Upuuzi kama huu..., anamaanisha wenye uwezo wa kufanya kazi au walioweza kupatiwa kazi ili wapate ujira kulingana na Ujuzi wao ?Kwamba watu wenye uwezo wa kufanya kazi na Kuzalisha ni 13 tuu ndio wanawalisha watu 87.
Yaani Kodi za hawa masikini zitumike ili eti kufanya utafiti wakati mambo yapo wide open ? Ukiweka kazi ya kuhitaji watu kumi wanatokea watu elfu 10,000 kutafuta hio ajira ili wapate ujira..., Tatizo lipo hapo wala halihitaji degree kuweza kuliona unless wewe ni kipofu...===============
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema watu 87 kati ya 100 ni tegemezi nchini, hivyo kushauri itengwe bajeti ya kufanya utafiti wa mapato na matumizi ya kaya, ili kupata takwimu ya hali ya umaskini.
.
Kiukweli hili ni tatzo kubwa kwny jamii zetuMwanaume kaoa, ila anategemewa na baba, mama, wadogo zake, shangazi, mjomba bibi n.k chain ni ndefu.
Jamii ina amini kwamba yupo mtu mahususi wa kutatua shida zao, na asipofanya hivyo, analaumiwa.
Hivi hata wabunge wenyewe sini tegemezi pia. Maana ili mtu usiwe tegemezi ni lazima uzalishe zaidi ya kile unacho kichukuwa. Kwa mfano kama unashamed la eka tatu ukalilima na kupanda mazao unayo taka yq kuuza . Baada kuuza ukapiga mahesabu ya gharama za kulimisha kupanda na matuzo ya mazo mpaka kuuza ukakuta gharama ni kubwa kuli hela uliyo ipata baada kuuza . Maana yake shamba lake ni tegemezi kwako. Tukija kwa wabunge na mawaziri wa Tanzania tukahesabu gharama zinazo tumika kuwalipa mishahara na marupurupu kwa kipindi chate cha utumishi wao ukalinganisha michango yao kwa maendeleo ya walipa kodi utakuta wabunge ni tegemezi maana kuwapo kwao na kutokuwepo kwa hakuna faida Bali hasara zaidi kwa walipo kodi.Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bajeti ya Bunge la Tanzania Olan Njezya amesema Haki ya Utegemezi Nchini Tanzania inatosha ambapo watu 87 kati ya 100 ni wategemezi.
Kwamba watu wenye uwezo wa kufanya kazi na Kuzalisha ni 13 tuu ndio wanawalisha watu 87.
===============
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema watu 87 kati ya 100 ni tegemezi nchini, hivyo kushauri itengwe bajeti ya kufanya utafiti wa mapato na matumizi ya kaya, ili kupata takwimu ya hali ya umaskini.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza, aliyasema hayo bungeni juzi alipokuwa akisoma maoni ya kamati kuhusu mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26 pamoja na mapendekeo ya mwongozo wa maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2025/26.
Alisema kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, idadi ya watu ilikuwa 61,741,120 mwaka 2022 na inakadiriwa kuwa ifikapo mwaka 2035 idadi ya watu nchini itakuwa 87,509,630 kutokana na ongezeko la asilimia 3.2 kila mwaka.
“Ongezeko hili la idadi ya watu nchini haliendani na ukuaji wa uchumi. Kamati inaishauri serikali kuhakikisha kwamba, ongezeko la watu linaendana na ukuaji wa uchumi kwa sababu hivi sasa, kati ya watu 100 watu 87 ni tegemezi,”alisema.
My Take
Vijana wa kiume ndio wamegeuka wategemezi hawataki kufanya kazi ngumu za uzalishaji badala yake wanawake ndio wanapambana.
Taifa liko mashakani ikiwa Nguvu kazi haipo na Kasi ya kuzaana inazidi kuongezeka.
View attachment 3142775
Pia soma Tanzania Yashika namba 6 kwenye Orodha ya Nchi 10 Ambazo Zitachangia Idadi Kubwa ya Watu Duniani Mwaka 2037.
Naunga mkono hoja, lifanyike jambo..huko Botswana wameweza!!Bado inatakiwa ifike ratio ya 1 kwa 99 ili kusudi lifanyike jambo la kimiujiza.😄