Barbiedoll
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 772
- 2,150
Ngoja tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dua ya kuiombea nchi na kuliombea BungeKuna tetesi kuwa wabunge wa CCM wametoa shinikizo kwa Spika, Dk. Tulia kuhakikisha kikao cha kesho cha kupitisha azimio la kuuza bandari zote za Tanzania bara kwa Mwarabu hakionyeshwi LIVE kwenye Tv ili kuwanusuru kwa wananchi ambao wako kwenye taharuki kubwa.
Wabunge hao inasemekana wameomba pia waandishi wa habari wasiruhusiwe kuingia kwenye kikao cha kesho ili kuwezesha kupitisha azimio hilo bila kujulikana na wananchi ni mbunge gani alisema nini katika kuunga mkono azimio hilo.
Uamuzi huo wa wabunge umetajwa kuchochewa na mashinikizo makubwa waliyoyapata kutoka kwa wananchi ambao wamewapigia simu, kuwatumia ujumbe wa maandishi na kuwaandikia barua wabunge kuwa wakipitisha azimio hilo wasirudi majimboni wapitilize moja kwa moja Dubai.
Mbona ni mbinu za kitoto ,lisipokua live bila kujali nani ameongea au la wote watakua washirika, mbona ni simple tu,ni bora kuwa live ili tujue ni mbunge gani anajitenga na usaliti huu,Kuna tetesi kuwa wabunge wa CCM wametoa shinikizo kwa Spika, Dk. Tulia kuhakikisha kikao cha kesho cha kupitisha azimio la kuuza bandari zote za Tanzania bara kwa Mwarabu hakionyeshwi LIVE kwenye Tv ili kuwanusuru kwa wananchi ambao wako kwenye taharuki kubwa.
Wabunge hao inasemekana wameomba pia waandishi wa habari wasiruhusiwe kuingia kwenye kikao cha kesho ili kuwezesha kupitisha azimio hilo bila kujulikana na wananchi ni mbunge gani alisema nini katika kuunga mkono azimio hilo.
Uamuzi huo wa wabunge umetajwa kuchochewa na mashinikizo makubwa waliyoyapata kutoka kwa wananchi ambao wamewapigia simu, kuwatumia ujumbe wa maandishi na kuwaandikia barua wabunge kuwa wakipitisha azimio hilo wasirudi majimboni wapitilize moja kwa moja Dubai.
Dua ya kuiombea nchi na kuliombea Bungehii kitu na maoni yetu mitandaoni na redioni serikali ilikuwa imeshaamua na haikwepeki ndio mana unaona spika povu lamtoka
mtaniambia hiyo kesho azimio linakwenda kupitishwa bila kujali maoni ya wananchi
Wapitishe tu haina shida ila this time watajua hawajui , nawambia kama Mungu aishivyo , mtashangaa sana keep thishii kitu na maoni yetu mitandaoni na redioni serikali ilikuwa imeshaamua na haikwepeki ndio mana unaona spika povu lamtoka
mtaniambia hiyo kesho azimio linakwenda kupitishwa bila kujali maoni ya wananchi
Why always working upon TETESI?Kuna tetesi kuwa wabunge wa CCM wametoa shinikizo kwa Spika, Dk. Tulia kuhakikisha kikao cha kesho cha kupitisha azimio la kuuza bandari zote za Tanzania bara kwa Mwarabu hakionyeshwi LIVE kwenye Tv ili kuwanusuru kwa wananchi ambao wako kwenye taharuki kubwa.
Wabunge hao inasemekana wameomba pia waandishi wa habari wasiruhusiwe kuingia kwenye kikao cha kesho ili kuwezesha kupitisha azimio hilo bila kujulikana na wananchi ni mbunge gani alisema nini katika kuunga mkono azimio hilo.
Uamuzi huo wa wabunge umetajwa kuchochewa na mashinikizo makubwa waliyoyapata kutoka kwa wananchi ambao wamewapigia simu, kuwatumia ujumbe wa maandishi na kuwaandikia barua wabunge kuwa wakipitisha azimio hilo wasirudi majimboni wapitilize moja kwa moja Dubai.
Kabisa ngoja tuone..Ngoja tuone
Ahahaha nimecheka sana[emoji23].[emoji28]hawa ndo maana Somalia wana windwa . Ni kurushiwa viazi tu kwenye gari zao
Bandari kubwa Afrika?DPWorld wamechukua Bandari Somaliland inayoitwa Berbera na Wameiendeleza sasa hivi ni moja ya Bandari kubwa Afrika.
Jebel Ali PortBandari kubwa Afrika?
[emoji23][emoji23]