Tetesi: Bunge halitakuwa LIVE Juni 10 kupitia mkataba wa bandari

Tetesi: Bunge halitakuwa LIVE Juni 10 kupitia mkataba wa bandari

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]walaiiiii safari ya Burundi inanihusu yaani tupumuliwe na mwarabu!!!
Akina Msukuma wameitwa Dubai WAMEKAZWA wanerudi wamelegea na kumsifu mwarabu.

Kaka mwarabu huwa hacheki ni kima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
بذحادصفد ذتإجبذ، قدجابذ.ر ذجابدجقباحذف ذباحذفسفجبإ ذتحر،دقبأحدت،قحبذفذح قدجب،د ذأحبدشقجذسب. Al habib!
 
Tunawasubiri wafanye hivyo kama wanaubavu huo lkn watuambie wanaficha nini na wanamtukania nn mbowe????
 
Kuna tetesi kuwa wabunge wa CCM wametoa shinikizo kwa Spika, Dk. Tulia kuhakikisha kikao cha kesho cha kupitisha azimio la kuuza bandari zote za Tanzania bara kwa Mwarabu hakionyeshwi LIVE kwenye Tv ili kuwanusuru kwa wananchi ambao wako kwenye taharuki kubwa.

Wabunge hao inasemekana wameomba pia waandishi wa habari wasiruhusiwe kuingia kwenye kikao cha kesho ili kuwezesha kupitisha azimio hilo bila kujulikana na wananchi ni mbunge gani alisema nini katika kuunga mkono azimio hilo.

Uamuzi huo wa wabunge umetajwa kuchochewa na mashinikizo makubwa waliyoyapata kutoka kwa wananchi ambao wamewapigia simu, kuwatumia ujumbe wa maandishi na kuwaandikia barua wabunge kuwa wakipitisha azimio hilo wasirudi majimboni wapitilize moja kwa moja Dubai.
Tutapambana tu ili tuwaone
 
Back
Top Bottom