Bunge la tanzania ni hatari kwa baadae sababu wapo karibu na hospitali ya vichaa .ambao wao wana bunge vichaa wana mirembe.
hivi hawa wabunge zimo kweli.
View: https://www.youtube.com/shorts/6XxTcyAp088
Bunge la tanzania ni hatari kwa baadae sababu wapo karibu na hospitali ya vichaa .ambao wao wana bunge vichaa wana mirembe.
hivi hawa wabunge zimo kweli.
View: https://www.youtube.com/shorts/6XxTcyAp088
Nami nilikuwa najiuliza amefeli wapi kumbe ni mweupe kiasi hichi ? Anastahili alichokipatandio maana hupati kazi video production
HIVI BUNGENI WALIOBAKI WANATUMIA COMMON SENSE NI AKINA NAN?Bunge la tanzania ni hatari kwa baadae sababu wapo karibu na hospitali ya vichaa .ambao wao wana bunge vichaa wana mirembe.
hivi hawa wabunge zimo kweli.
View attachment 3346427
Hili siyo bunge tena bali kusanyiko la vichaa, yaani Dotto Magari kweli?Bunge la tanzania ni hatari kwa baadae sababu wapo karibu na hospitali ya vichaa .ambao wao wana bunge vichaa wana mirembe.
hivi hawa wabunge zimo kweli.
View attachment 3346427
Hatuna Bunge.HIVI BUNGENI WALIOBAKI WANATUMIA COMMON SENSE NI AKINA NAN?
ILA NIKAWAIDA YA BAADHI YA WAMAMA WAKISWAHILI WAKIPANIC HAEZI KUTUMIA MDOMO KWA BUSARA KAMA WANANCHI WANAVYOTEGEMEA KUTOKA KWAO
KINASIKITISHA KUONA MTANZANIA ANALALAMKA JUU YA KENYA KUTUKANA HII NCHI
HIVI TUNADHANI MATAIFA MENGINE HAYAONI HUU UNYANYASAJI KWA WALE WANAOKOSOA SEREKALI YA NCHI HII?
KIASI KWAMBA TUSEME KENYA WAMEKOSEA...
RAISI MZALENDO ATAONGEA JUU YA KIFO CHA KIBAO NA KUSEMA "KIFO NI KIFO TU"
TANZANIA TUNAJIONA TUNAJITAFUTA KUMBE TUNAJIAIBISHA KWA MATAIFA MENGINE
UNSOLVED MURDER AND CRIMINAL CASES KWENYE HII NCHI NDIZO ZINAZOTUDHALILISHA KWA MATAIFA MENGINE
Umeona bora ucheke tu... Junior.Hahahahahaaa😂😂😂😂😂
Kuna mahali tulikosea sanaUmeona bora ucheke tu... Junior.
Hebu Imagine hili Bunge lililojaa Kiazi kama hiki?Bunge la tanzania ni hatari kwa baadae sababu wapo karibu na hospitali ya vichaa .ambao wao wana bunge vichaa wana mirembe.
hivi hawa wabunge zimo kweli.
View attachment 3346427
Madhahara haya yote chimbuko lake ni Jiwe....Kuna mahali tulikosea sana
Tumevuka point of no return, ndio basi tena😂Kuna mahali tulikosea sana
Unaweza ukawa umesema Ukweli, ila ulipo sema CNN iliomba pooo... Umevuka mpaka wa kuwasifia ndugu zetu wakenya.Hivi kuna nchi inaweza kushindana na wakenya mitandaoni?
Hivi huyo mbunge anawafahamu wakenya vizuri ?. Wakenya wamewahi ikamia Cnn ya usa mpaka ikaomba poooh!
Linapokuja suala la mtandao wakenya ni vichaa wabobevu.
Na kuna sauti za makofi zinasikika wakisupport anachokiongea.kuna hoja ya hawa wabunge kupimwa afya ya akili na namna wanavyofikiriBunge la tanzania ni hatari kwa baadae sababu wapo karibu na hospitali ya vichaa .ambao wao wana bunge vichaa wana mirembe.
hivi hawa wabunge zimo kweli.
Umesema kweli tushavuka point of no return sasa. Kuna makubwa zaidi yanakuja...Tumevuka point of no return, ndio basi tena😂