Bunge kumtuma Doto magari kuwajibu wakenya?

Bunge kumtuma Doto magari kuwajibu wakenya?

Hivi kuna nchi inaweza kushindana na wakenya mitandaoni?
Hivi huyo mbunge anawafahamu wakenya vizuri ?. Wakenya wamewahi ikamia Cnn ya usa mpaka ikaomba poooh!

Linapokuja suala la mtandao wakenya ni vichaa wabobevu.
Wanaijeria na ujuaji wao walikalishwa.
Kwanza unashindana nao vipi wakati hata gharama za bundle za kubishania huku ziko juu kuliko kule.
 
Hivi aibu kama hizi jamani,.
Ila ngoja kwanza tuone😃😄😄
 
Yaani mbunge anayeenda bungeni kutengeneza sheria , kuisimamia serikali
Yeye anaenda kuitetea kuna sehemu kuna ulakini
IMG-20250526-WA0023.jpg
 
Back
Top Bottom