Bunge kumtuma Doto magari kuwajibu wakenya?

Bunge kumtuma Doto magari kuwajibu wakenya?

Dah! Watu smart Tz wamewekwa kando, Chawa kama akina Doto Magari, Mwijaku etc. Ndio wanaonekana kuwa na thamani. Bado tuna safari ndefu
 
Bado najiuliza shida ni nini mpaka tunawehuka hivi? mbona hizi ni issue ni ndogo sana na escalation tumefanya wenyewe Kwa kushindwa kudeal na issues zikiwa ndogo baadala yake ukosefu wetu wa akili umetufanya kuyakuza mambo nakujiletea wenyewe taharuki ilihali naona Kenyan kama kwao ni suala dogo sana.

Umeteka raia wa nchi jirani eti kwasababu wamekuja kusikiliza kesi ya mwanaharakati mwenzao, ukawafanyia vitendo vya kinyama ilihali Sheria zipo kama kweli ni wakosoaji ghafla bin vuu tena tunaanza kupigana makelele huko na kule.
 
HIVI BUNGENI WALIOBAKI WANATUMIA COMMON SENSE NI AKINA NAN?
ILA NIKAWAIDA YA BAADHI YA WAMAMA WAKISWAHILI WAKIPANIC HAEZI KUTUMIA MDOMO KWA BUSARA KAMA WANANCHI WANAVYOTEGEMEA KUTOKA KWAO

KINASIKITISHA KUONA MTANZANIA ANALALAMKA JUU YA KENYA KUTUKANA HII NCHI
HIVI TUNADHANI MATAIFA MENGINE HAYAONI HUU UNYANYASAJI KWA WALE WANAOKOSOA SEREKALI YA NCHI HII?
KIASI KWAMBA TUSEME KENYA WAMEKOSEA...

RAISI MZALENDO ATAONGEA JUU YA KIFO CHA KIBAO NA KUSEMA "KIFO NI KIFO TU"

TANZANIA TUNAJIONA TUNAJITAFUTA KUMBE TUNAJIAIBISHA KWA MATAIFA MENGINE

UNSOLVED MURDER AND CRIMINAL CASES KWENYE HII NCHI NDIZO ZINAZOTUDHALILISHA KWA MATAIFA MENGINE
Acha kupiga kelele basi
 
Hivi kuna nchi inaweza kushindana na wakenya mitandaoni?
Hivi huyo mbunge anawafahamu wakenya vizuri ?. Wakenya wamewahi ikamia Cnn ya usa mpaka ikaomba poooh!

Linapokuja suala la mtandao wakenya ni vichaa wabobevu.
Huyo mbunge kwa kumuangalia tu unaona hamna kitu hapo.
 
Back
Top Bottom