Bunge kumtuma Doto magari kuwajibu wakenya?

Bunge kumtuma Doto magari kuwajibu wakenya?

Huyu kenge, atoe ushauri kwa kenge wenzake alikotoka huko. Akafanye mazoezi kwanza na limwili lake kama tembo. Wanja wa kishangingi, Bunge la miaka hii, watu wamepeana Ubunge, wako humo hajui kaenda kufanya nini.

Sasa huyu hata ukimuuliza kazi za Bunge na mbunge ni zipi hajui.
Viti maalum vifutwe, havina maana ni kupeana hisani ya ndugu, jamaa na marafiki, vifutwe.
 
Yeye sio kenge ni nyangumi....yani kama Taifa tumepotea kabisa...
 
Wakenya mpo wapi mtusaidie kutengeneza video ya huyu mama mbunge anapigwa mti vichakani
 
Hivi kuna nchi inaweza kushindana na wakenya mitandaoni?
Hivi huyo mbunge anawafahamu wakenya vizuri ?. Wakenya wamewahi ikamia Cnn ya usa mpaka ikaomba poooh!

Linapokuja suala la mtandao wakenya ni vichaa wabobevu.
Huyo mbunge kilaza hana account huko X ndio maana anaropoka itakuwa ameonyeshwa tu post kadhaa ndio anafikiri anawamudu hao watu.

Wakenya walifanya rais wao Uhuru Kenyatta akadelete account hadi amemaliza awamu yake na hata sasa amefungua nyingine akiwa mstaafu ila bado amefunga comment section.

Wakenya teknolojia wamekuwa exposed mapema na teknolojia na internet imesambaa kwa wingi unakuta hata kijijini mtu ana router ina unlimited internet na anafanya remote jobs hivyo kuwa active mtandaoni sio tatizo kwake na kuwakaanga viongozi mtandaoni kwao hawaoni tatizo.

Pia wakenya wako informed na wanaipa kipaumbele siasa kuliko ujinga ujinga mwingine ndio maana hata ukipita media za nje zenye matukio yao wanajaa kwenye comment section mfano mmoja tu ni ile documentary ya BBC ya Blood Parliament ndani ya saa 24 ilikuwa na viewers 1.1 na comments 20k.

Wampeleke huyo Dotto Magari X akajaribu kama hatokimbia mwenyewe.
 
Imebidi nicheke japo inasikitisha sana, yani mwakilishi wa wananchi anasimama na kutoa hoja ya ajabu kiasi hicho, inashangaza.
 
Huyu mama ameingiaje bungeni? Inaonekana ni wale anachomaa vitumbua huku anasikiliza taarabu za khadija kopa
 
Back
Top Bottom