Bunge kumtuma Doto magari kuwajibu wakenya?

Hivi kuna nchi inaweza kushindana na wakenya mitandaoni?
Hivi huyo mbunge anawafahamu wakenya vizuri ?. Wakenya wamewahi ikamia Cnn ya usa mpaka ikaomba poooh!

Linapokuja suala la mtandao wakenya ni vichaa wabobevu.
Wanaijeria na ujuaji wao walikalishwa.
Kwanza unashindana nao vipi wakati hata gharama za bundle za kubishania huku ziko juu kuliko kule.
 
Hivi aibu kama hizi jamani,.
Ila ngoja kwanza tuoneπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…