Bunge kumtuma Doto magari kuwajibu wakenya?

Dah! Watu smart Tz wamewekwa kando, Chawa kama akina Doto Magari, Mwijaku etc. Ndio wanaonekana kuwa na thamani. Bado tuna safari ndefu
 
Bado najiuliza shida ni nini mpaka tunawehuka hivi? mbona hizi ni issue ni ndogo sana na escalation tumefanya wenyewe Kwa kushindwa kudeal na issues zikiwa ndogo baadala yake ukosefu wetu wa akili umetufanya kuyakuza mambo nakujiletea wenyewe taharuki ilihali naona Kenyan kama kwao ni suala dogo sana.

Umeteka raia wa nchi jirani eti kwasababu wamekuja kusikiliza kesi ya mwanaharakati mwenzao, ukawafanyia vitendo vya kinyama ilihali Sheria zipo kama kweli ni wakosoaji ghafla bin vuu tena tunaanza kupigana makelele huko na kule.
 
Acha kupiga kelele basi
 
Hivi kuna nchi inaweza kushindana na wakenya mitandaoni?
Hivi huyo mbunge anawafahamu wakenya vizuri ?. Wakenya wamewahi ikamia Cnn ya usa mpaka ikaomba poooh!

Linapokuja suala la mtandao wakenya ni vichaa wabobevu.
Huyo mbunge kwa kumuangalia tu unaona hamna kitu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…