Najaribu kudadavua kuona kama kuna impact yoyote ya bunge ambayo imenitoke mimi moja kwa moja kama mtanzania ambayo imetokana na bunge letu, bado siioni labda mnisaidie kwa sabau zifuatazo;
1. Kero za umeme bado ni zilezile,
2. Ubovu wa barabara ninazopita kila siku kama mimi mziki wa sinderela bado ni uleule
3. Hali mbaya kwa wakulima waliowengi tangu enzi za mkoloni naona bado ni vilevile
4. Hali ya rushwa mahakamani, mahospitalini, police n.k vimeendelea kushamiri
5. Huduma za afya bro bado ni changamoto bila kupenyeza rupia
6. Kikokotoo bado ni changamoto,
7. Watanzania kutekwa na bunge kukaa kimya
8. Uwajibikaji wa serikali ni ................
9.