Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 34, Mei 28, 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876

"Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia."

"Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya shilingi 241,069,232,000. Kati ya kiasi hicho, shilingi 229,435,856,000 zilitengwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida, na shilingi 11,633,376,000 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo."

"Hadi kufikia Aprili 2025, Wizara ilikuwa imepokea na kutumia shilingi 220,724,277,209.73, sawa na asilimia 91.6 ya bajeti yote iliyoidhinishwa."

"Wizara inaiomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi 340,538,614,000 kwa mwaka wa fedha 2025/2026; kati ya hizo, shilingi 294,998,588,000 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida, na shilingi 45,540,026,000 ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo."

"Wizara inatarajia kukusanya maduhuli ya Serikali kiasi cha shilingi 1,454,426,010 kutoka vyanzo mbalimbali kama upangishaji wa nyumba za Serikali nje ya nchi na uthibitishaji wa nyaraka."

Vipaumbele vya Wizara kwa 2025/2026

"Kuimarisha diplomasia ya uchumi, kukuza masoko ya bidhaa za Tanzania nje ya nchi, kuvutia uwekezaji, na kukuza utalii; pamoja na kushiriki katika jitihada za amani, ulinzi na usalama kikanda na kimataifa."

Fedha Zilizopokelewa kutoka Hazina

"Hadi Machi 2025, Wizara ilikuwa imepokea shilingi 213.3 bilioni, sawa na asilimia 89 ya bajeti iliyoidhinishwa ya shilingi 241.1 bilioni. Miradi ya maendeleo ilifadhiliwa kwa asilimia 100."

Changamoto Kubwa

"Uelewa mdogo wa wadau kuhusu diplomasia ya uchumi umeendelea kwa zaidi ya miaka mitano."
"Kuzorota kwa hali ya amani katika baadhi ya nchi kumeathiri utekelezaji wa sera za mambo ya nje."
"Nchi wanachama wa jumuiya za kikanda kutolipa michango kwa wakati kunakwamisha utekelezaji wa programu."

 

Attachments

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 28 Mei, 2025 tayari kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026
 

Attachments

  • IMG-20250528-WA0183.jpg
    IMG-20250528-WA0183.jpg
    419.2 KB · Views: 34
  • IMG-20250528-WA0179.jpg
    IMG-20250528-WA0179.jpg
    366.3 KB · Views: 40
  • IMG-20250528-WA0176.jpg
    IMG-20250528-WA0176.jpg
    333.3 KB · Views: 36
  • IMG-20250528-WA0171.jpg
    IMG-20250528-WA0171.jpg
    409.6 KB · Views: 35
  • IMG-20250528-WA0189.jpg
    IMG-20250528-WA0189.jpg
    369.5 KB · Views: 35
  • IMG-20250528-WA0184.jpg
    IMG-20250528-WA0184.jpg
    458.3 KB · Views: 40
  • IMG-20250528-WA0186.jpg
    IMG-20250528-WA0186.jpg
    388.8 KB · Views: 36
  • IMG-20250528-WA0154.jpg
    IMG-20250528-WA0154.jpg
    328.6 KB · Views: 42
  • IMG-20250528-WA0180.jpg
    IMG-20250528-WA0180.jpg
    334.9 KB · Views: 33
  • IMG-20250528-WA0175.jpg
    IMG-20250528-WA0175.jpg
    404.7 KB · Views: 34
  • IMG-20250528-WA0182.jpg
    IMG-20250528-WA0182.jpg
    391.8 KB · Views: 44
  • IMG-20250528-WA0192.jpg
    IMG-20250528-WA0192.jpg
    539.9 KB · Views: 39
  • IMG-20250528-WA0191.jpg
    IMG-20250528-WA0191.jpg
    390.5 KB · Views: 40
  • IMG-20250528-WA0187.jpg
    IMG-20250528-WA0187.jpg
    362.6 KB · Views: 36
  • IMG-20250528-WA0177.jpg
    IMG-20250528-WA0177.jpg
    388.9 KB · Views: 38
  • IMG-20250528-WA0178.jpg
    IMG-20250528-WA0178.jpg
    426.5 KB · Views: 35
  • IMG-20250528-WA0168.jpg
    IMG-20250528-WA0168.jpg
    378.2 KB · Views: 38
  • IMG-20250528-WA0194.jpg
    IMG-20250528-WA0194.jpg
    486.7 KB · Views: 32
  • IMG-20250528-WA0196.jpg
    IMG-20250528-WA0196.jpg
    482.2 KB · Views: 42
  • IMG-20250528-WA0181.jpg
    IMG-20250528-WA0181.jpg
    377.6 KB · Views: 47
  • IMG-20250528-WA0185.jpg
    IMG-20250528-WA0185.jpg
    397.5 KB · Views: 34
  • IMG-20250528-WA0174.jpg
    IMG-20250528-WA0174.jpg
    475.8 KB · Views: 34
  • IMG-20250528-WA0195.jpg
    IMG-20250528-WA0195.jpg
    448 KB · Views: 37
  • IMG-20250528-WA0193.jpg
    IMG-20250528-WA0193.jpg
    439.5 KB · Views: 40
  • IMG-20250528-WA0190.jpg
    IMG-20250528-WA0190.jpg
    497.7 KB · Views: 38
  • IMG-20250528-WA0147.jpg
    IMG-20250528-WA0147.jpg
    391.5 KB · Views: 37
  • IMG-20250528-WA0188.jpg
    IMG-20250528-WA0188.jpg
    449.8 KB · Views: 43
Back
Top Bottom