Bunge la bajeti 2011/2012 na yatokanayo

WEWE NDO UNATUCHEFUA KWA KUTOKUELEWA KWAKO ....."serikali ikatekeleza"........ , serikali haijatekeleza imesema tu. Kuna tofauti kubwa kati ya kusema na kutekeleza.

wana-JF watakuelimisha zaidi, usijali. Halafu hapa hatujaongelea mapendekezo ya Mb au Zitto point ni kwamba Budget ya serikali ime-copy vipengele muhimu vya budget ya HADEMA inaonekana haukuwa nchini mzee, hatari kubwa ni je wanajua au wana strategy ya utekelezaji?

Ndo yale yale ya kudandia hoja ya katiba bila kujua context mwishowe wakakimbia nayo. Kama unataka kufanikiwa mwite mhusika (subject matter expert) mhusishe akusaidie tu utapata heshima na kufanikiwa si kuona mwenzio anajenga Gorofa nawe ukabomoa kajumba kako ukifikiri gorofa inajengwa kwa kupanga mawe tu, angalia mzee utanyeshewa.


 

kwa iyo adui wa ccm ni cdm?sijui wengine wanaongea vitu gani! Izi ni siasa,ugomvi?
 
Hii imekaaje wadau?
Mbona kama nilimsikia akisema sh 50,000?...na wabunge wakaipigia kelele/zomea! Kwa vyovyote vile kutakuwa na 'ulaji' zaidi kwa 'wazee wa fedha'!
 
Mi nataka niskie bajeti ivuli inasema inataka kuona malio na posho za watumishi wa umma zinaendana na uzito wa majukumu yao.

Jamni tutasemaje
Kilimo kwanza waati Afisa kilimo wa Mkoa anazidiwa mapato na meya wa jiji.?
Utapataje Elimu bora primary na sekondary wakti Afisa Elimu wa Mkoa na wilaya anazidiwa kipato na mbunge
Utakuwaje na ulinzi mzuri kama RPC anazidiwa kimapato na mwanasiasa.

Wanasiasa kamwe hawateleta mabadiliko. Wo ni chachu tu. Ni watendaji wanaotakiwa kuwa frontline ndo wataleta mabadiliko ya kweli. Wabunge piganieni watu sahihi wapate maslahi sahihi ikiwezekana hata kuwazidi.
 
Hapo utashangaa watakavyoipitisha kwa mbwembwe na wataisifia,
jk asgawapoza jana kasema hawez tekeleza kila kitu
 
ALL comments are negative. Do you mean to say there were no positive things u could praise?
 

ni ukweli usiopingika CDM tunaongoza URT
 

Kweli niko mbali, hivi hao Chadema waliiagiza serikali "ikaseme itatekeleza?"
Labda nifute jina la mbunge, niweke la chama kama unavyotaka.
Hoja yangu ni kwamba inawezekana Chadema wamekopi bajeti ya serikali kama kukopi au kutokopi ni suala muhimu saana...
 
Hapo CCM inawauma sana wanaona wameshindwa.Serikali haijatafuta vyanzo mbadala wa mapato badala yake wanaongeza mianya ya rushwa kwa Trafic Police kwa kuongeza notification mpaka 50,000/= mpaka wabunge wakaguna na kuacha kumsilikiliza Mkullo.
<br />
<br />
ndugu yangu notification ni kutoka 20000 hadi 300000 rediculous.
 
Suburi wabunge wa chama tawala watakapo changia wakiilamikia bajeti kwa nguvu zote kwa dakika 14 na nusu lakini wakiiunga mkono kwa 100%,kwa sekunde 5 tu!!!
 
huko ni kujipendekeza, wakenya haiwaingii akilini kwa mtanzania akawajadilie bajeti,

ukienda kwenye hoteli za 5 star kenya huwezi kuta bendera ya tanzania ikpepea, but njoo kwenye hoteli za tanzania wanapeperusha kwa wingi, na hata tv za kenya hazitoagi kipa umbele kwa habari za tz tofauti na tz wanavyo fanya.
 
Thank you very much for your kind understanding!!

 
yaani huyu mustapha mkulo ndo amefanya nini na hilo libajeti lake ? Bajeti lenyewe linambana kweli mwananchi wa kawaida !
 
Duh, hapa umemaliza mkuu. Kwa serikali hii maisha bora kwa kila Mtanzania ni
ndoto za mwendawazimu.
Ni wakati wa vitendo huu sio tena wa maongezi,hawa viongozi kazi kupiga domo,bajeti inalenda sana mishahara yao na posho tu. Tunia walilala njee kuondoa viongozi wabovu na wabinafsi ,jee kwa nini na sisi tusitekeleze kwa vitendoo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…