Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Pole sana,......bado hujajibu kuhusu elimu bure.Powa niko nasubiria kusikia kesho mchele kilo 2000 maharage 2500 bob
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana,......bado hujajibu kuhusu elimu bure.Powa niko nasubiria kusikia kesho mchele kilo 2000 maharage 2500 bob
This has been the case since the 2010 Elections,
1. New constitution
2. Chuo cha uongozi
3. ...........................
4. ......................
Chuo cha uongoziiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Wewe ni wa chama cha magamba au.:confused2::confused2::confused2:. Ebu nieleweshe CHuo cha uongozi cha nini.
Nadhani unaongelea habari ya Zitto hivi karibuni. Nikukumbushe/nikufahamishe, mpaka inasomwa leo bajeti ilikwishaandaliwa mapema kabla. Fikiria uwezekano wa Zitto kujua hizo taarifa kabla na kuamua "kuiagiza" serikali kama unavyoamini kunaweza kuwa na manufaa kiasi gani kisiasa? Only a matter of timing mkuu.
However, nothing bad comes out of that. Kama mbunge "amependekeza/ameshauri" jambo zuri na serikali ikatekeleza kumbe unaweza kusema serikali yako ni "sikivu"
A positive point in you lakini unajitahidi kuihasi ili pengine usije ukawachefua members. Kuwa huru zaidi mkuu...
kazi ipo. Hata kazi ya upinzani katika serikali hujui. Sehemu mojawapo ni kuikosoa na kuishauri serikali. Hata wanafunzi huotea maswali na hatimaye kusema walijua mtihani utakuwaje. Matatizo ya nchi hata mtoto mdogo anajua. Chadema inachofanya inatoa pointi kwa ccm. Hilo bado hawajashitukia. Ukitoa mbinu ya mchezo wako na adui yako akawai kuutumia nani atapoteza game.
Mbona kama nilimsikia akisema sh 50,000?...na wabunge wakaipigia kelele/zomea! Kwa vyovyote vile kutakuwa na 'ulaji' zaidi kwa 'wazee wa fedha'!84. Mheshimiwa Spika, napendekeza kufanya marekebisho ya Sheria ya Usalama Barabarani, Sura, 168 ili kuongeza ukomo wa kiwango cha faini inayotozwa kwa kufanya makosa wakati wa uendeshaji gari barabarani (Traffic Notification Fee) kutoka shilingi 20,000 hadi shilingi 300,000.
Chadema ni kama mwanamke mjamzito akifanyiwa zuri kwake karaha akifanyiwa baya ndio tabu! Sasa mnataka Serikali ipuuze kila linalosemwa na Upinzani!
Wana JF mnaofuatilia bunge sasa ivi mmemsikia waziri wa fedha anavosoma budget..? anasema serekali itapunguza safari za viongozi njee na ndani ya nchi, watapunguza msafara na msururu wa wapambe kwenye safari ambazo ni za lazima, watapunguza posho za viongozi zisizo lazima etc, sasa kwanini usikubali chadema ndio inaongoza nchi hii..? afadhali magamba mmekubali mapungufu yenu na kuchukua ushauri wa wataalam wa uchumi wa chadema
WEWE NDO UNATUCHEFUA KWA KUTOKUELEWA KWAKO ....."serikali ikatekeleza"........ , serikali haijatekeleza imesema tu. Kuna tofauti kubwa kati ya kusema na kutekeleza, wana-JF watakuelimisha zaidi, usijali. Halafu hapa hatujaongelea mapendekezo ya Mb au Zitto point ni kwamba Budget ya serikali ime-copy vipengele muhimu vya budget ya CDM inaonekana haukuwa nchini mzee, hatari kubwa ni je wanajua au wana strategy ya utekelezaji? ........ndo yale yale ya kudandia hoja ya katiba bila kujua context mwishowe wakakimbia nayo. Kama unataka kufanikiwa mwite mhusika (subject matter expert) mhusishe akusaidie tu utapata heshima na kufanikiwa si kuona mwenzio anajenga Gorofa nawe ukabomoa kajumba kako ukifikiri gorofa inajengwa kwa kupanga mawe tu, angalia mzee utanyeshewa!!
<br />Hapo CCM inawauma sana wanaona wameshindwa.Serikali haijatafuta vyanzo mbadala wa mapato badala yake wanaongeza mianya ya rushwa kwa Trafic Police kwa kuongeza notification mpaka 50,000/= mpaka wabunge wakaguna na kuacha kumsilikiliza Mkullo.
kweli niko mbali, hivi hao chadema waliiagiza serikali "ikaseme itatekeleza?"
labda nifute jina la mbunge, niweke la chama kama unavyotaka.
Hoja yangu ni kwamba inawezekana chadema wamekopi bajeti ya serikali kama kukopi au kutokopi ni suala muhimu saana...
Ni wakati wa vitendo huu sio tena wa maongezi,hawa viongozi kazi kupiga domo,bajeti inalenda sana mishahara yao na posho tu. Tunia walilala njee kuondoa viongozi wabovu na wabinafsi ,jee kwa nini na sisi tusitekeleze kwa vitendoo ?Duh, hapa umemaliza mkuu. Kwa serikali hii maisha bora kwa kila Mtanzania ni
ndoto za mwendawazimu.