Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Hii sasa waitolee ufafanuzi, kama mtu ni mgonjwa na siku hiyo hakufika atahesabika ni mfanyakazi hewa? Vipi waliopo masomoni?Mshahara haujaongezwa. Ila kuna national pay day(kuckulia dirishani mshahara). Itakuwa suprise, ucpokuwepo ck hyo imekula kwako unahesabika mtumishi hewa.