Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
View: https://youtu.be/P0Gza-ycva0?si=-o1iG2PhuL-Aizn_
Kuna habari zinaendelea mitandaoni kuwa Bunge la Bajeti mwaka huu huenda likavunjwa mwezi Agosti 2025. Kawaida Bunge la Bajeti la mwaka wa Uchaguzi huvunjwa si kuahirishwa mwisho wa Juni au mapema Julai. Tayari Rais wa BMZ Dr. Mwinyi ameshatangaza Bunge la Wawakilishi linaenda mpaka Agosti!! Kuna nn?
Hii ni kutokana na kujipanga kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Oktoba mwaka wa Uchaguzi. Mwaka huu huenda likaendelea mpaka Agosti na hii inaashiria kutokuwepo kwa Uchaguzi Mkuu ili kuipa Serikali muda wa kujipanga na No Reforms No Election.
Muda utaongea.