Kwanini wasirudi wakati wananchi wao wanawakubali yaani damu damu ?Wanaweza?? Kalibia 60% hawarudi

Hata kama sio "kutupa taulo" moja kwa moja, mtikisiko wa "NO REFORM, NO ELECTION" hauzuiliki kwa kujifanya kuwa kiziwi!Kuna jambo kubwa. BI CHAUDELE anatangaza kutupa taulo.
Mimi nitafurahi!Kwene hiyo video clip jamaa walioko US wanasema Marekani inapanga mkakati wa kuibana Tanzania kwa issue ya Lissu na Uchaguzi Mkuu kabla ya Oktoba,2025.
Just stay tuned!
View: https://youtu.be/P0Gza-ycva0?si=-o1iG2PhuL-Aizn_
Kuna habari zinaendelea mitandaoni kuwa Bunge la Bajeti mwaka huu huenda likavunjwa mwezi Agosti 2025. Kawaida Bunge la Bajeti la mwaka wa Uchaguzi huvunjwa si kuahirishwa mwisho wa Juni au mapema Julai. Tayari Rais wa BMZ Dr. Mwinyi ameshatangaza Bunge la Wawakilishi linaenda mpaka Agosti!! Kuna nn?
Hii ni kutokana na kujipanga kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Oktoba mwaka wa Uchaguzi. Mwaka huu huenda likaendelea mpaka Agosti na hii inaashiria kutokuwepo kwa Uchaguzi Mkuu ili kuipa Serikali muda wa kujipanga na No Reforms No Election.
Muda utaongea.
Samia anahutubia lakini hatolivunja,ata Mwinyi ilipangwa iwe hivyo kuhutubia kulivunja lakini aliishia kulihairishaJamani ee ijumaa tarh 27 june ndo bunge linavunjwa, haya mengne mmeyatoa wapi?
View: https://youtu.be/P0Gza-ycva0?si=-o1iG2PhuL-Aizn_
Kuna habari zinaendelea mitandaoni kuwa Bunge la Bajeti mwaka huu huenda likavunjwa mwezi Agosti 2025. Kawaida Bunge la Bajeti la mwaka wa Uchaguzi huvunjwa si kuahirishwa mwisho wa Juni au mapema Julai. Tayari Rais wa BMZ Dr. Mwinyi ameshatangaza Bunge la Wawakilishi linaenda mpaka Agosti!! Kuna nn?
Hii ni kutokana na kujipanga kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Oktoba mwaka wa Uchaguzi. Mwaka huu huenda likaendelea mpaka Agosti na hii inaashiria kutokuwepo kwa Uchaguzi Mkuu ili kuipa Serikali muda wa kujipanga na No Reforms No Election.
Muda utaongea.
Wale jamaa hawana haraka ama papara. EU naona tayari yupo.mzigoni.Kwene hiyo video clip jamaa walioko US wanasema Marekani inapanga mkakati wa kuibana Tanzania kwa issue ya Lissu na Uchaguzi Mkuu kabla ya Oktoba,2025.
Just stay tuned!
View: https://youtu.be/P0Gza-ycva0?si=-o1iG2PhuL-Aizn_
Kuna habari zinaendelea mitandaoni kuwa Bunge la Bajeti mwaka huu huenda likavunjwa mwezi Agosti 2025. Kawaida Bunge la Bajeti la mwaka wa Uchaguzi huvunjwa si kuahirishwa mwisho wa Juni au mapema Julai. Tayari Rais wa BMZ Dr. Mwinyi ameshatangaza Bunge la Wawakilishi linaenda mpaka Agosti!! Kuna nn?
Hii ni kutokana na kujipanga kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Oktoba mwaka wa Uchaguzi. Mwaka huu huenda likaendelea mpaka Agosti na hii inaashiria kutokuwepo kwa Uchaguzi Mkuu ili kuipa Serikali muda wa kujipanga na No Reforms No Election.
Muda utaongea.
View: https://youtu.be/P0Gza-ycva0?si=-o1iG2PhuL-Aizn_
Kuna habari zinaendelea mitandaoni kuwa Bunge la Bajeti mwaka huu huenda likavunjwa mwezi Agosti 2025. Kawaida Bunge la Bajeti la mwaka wa Uchaguzi huvunjwa si kuahirishwa mwisho wa Juni au mapema Julai. Tayari Rais wa BMZ Dr. Mwinyi ameshatangaza Bunge la Wawakilishi linaenda mpaka Agosti!! Kuna nn?
Hii ni kutokana na kujipanga kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Oktoba mwaka wa Uchaguzi. Mwaka huu huenda likaendelea mpaka Agosti na hii inaashiria kutokuwepo kwa Uchaguzi Mkuu ili kuipa Serikali muda wa kujipanga na No Reforms No Election.
Muda utaongea.
Kauli ya mwenye nacho atazidi kupata ndiyo hii sasaPosho ya 400,000/= kwa siku ni hela ndefu sana. Wapo hapo tokea April ni almost 3 months now. Wakienda mpaka Agosti ni miezi 5 sasa fanya hesabu ya jumla 5 x 30 x 400,000=60,000,000(60m/=). Hii ni pensheni ya mstaafu aliyefanya kazi zaidi ya miaka 30++!!!
Usisahau.Samia anahutubia lakini hatolivunja,ata Mwinyi ilipangwa iwe hivyo kuhutubia kulivunja lakini aliishia kulihairisha
Inaonyesha wazi mlevi wa bangi ni wewe.Rais atahutubia bunge tarehe 27 June 2025.
hizo story zako za vijiwe vya bangi kaa nazo
View: https://youtu.be/P0Gza-ycva0?si=-o1iG2PhuL-Aizn_
Kuna habari zinaendelea mitandaoni kuwa Bunge la Bajeti mwaka huu huenda likavunjwa mwezi Agosti 2025. Kawaida Bunge la Bajeti la mwaka wa Uchaguzi huvunjwa si kuahirishwa mwisho wa Juni au mapema Julai. Tayari Rais wa BMZ Dr. Mwinyi ameshatangaza Bunge la Wawakilishi linaenda mpaka Agosti!! Kuna nn?
Hii ni kutokana na kujipanga kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Oktoba mwaka wa Uchaguzi. Mwaka huu huenda likaendelea mpaka Agosti na hii inaashiria kutokuwepo kwa Uchaguzi Mkuu ili kuipa Serikali muda wa kujipanga na No Reforms No Election.
Muda utaongea.
View: https://youtu.be/P0Gza-ycva0?si=-o1iG2PhuL-Aizn_
Kuna habari zinaendelea mitandaoni kuwa Bunge la Bajeti mwaka huu huenda likavunjwa mwezi Agosti 2025. Kawaida Bunge la Bajeti la mwaka wa Uchaguzi huvunjwa si kuahirishwa mwisho wa Juni au mapema Julai. Tayari Rais wa BMZ Dr. Mwinyi ameshatangaza Bunge la Wawakilishi linaenda mpaka Agosti!! Kuna nn?
Hii ni kutokana na kujipanga kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Oktoba mwaka wa Uchaguzi. Mwaka huu huenda likaendelea mpaka Agosti na hii inaashiria kutokuwepo kwa Uchaguzi Mkuu ili kuipa Serikali muda wa kujipanga na No Reforms No Election.
Muda utaongea.
No reforms no election. Ndiyo chanzo. Wanataka kufanya Reforms
Uliona CCM wanafanya reform jua ni reform za kimchongo, zuga zugaNo reforms no election. Ndiyo chanzo. Wanataka kufanya Reforms