Bunge la Bajeti kuahirishwa Agosti kuna nini nyuma ya pazia?

Bunge la Bajeti kuahirishwa Agosti kuna nini nyuma ya pazia?

Nadhani Wana intelligence hawalali!

Ni ngumu sana kujua idara inapika Nini kwa sasa!!

Kusogezwa mbele Bunge ni kusogeza mbele uchaguzi pia!!?

Au wamejipanga wawepo Hadi serikali ya awamu ya saba!!?

Ngoja tuone!!
Iyo intelligence mnavyoisifu utadhani ni CIA,kumbe ni kina Mwesigwa
 
Ni kinyume na katiba? Muda wa ubunge ni exactly miaka 5 na si zaidi ya hapo unless kuna state of emergency
 
Back
Top Bottom