Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Kasemaje?Usisahau.
Na Nchimbi leo kawaambia nini wale wanawake huko Arusha?
1 + 1 = 2 haiwezi kumshinda mtu yeyote mwenye akili timamu, hata kama hakwenda shule.

View: https://youtu.be/P0Gza-ycva0?si=-o1iG2PhuL-Aizn_
Kuna habari zinaendelea mitandaoni kuwa Bunge la Bajeti mwaka huu huenda likavunjwa mwezi Agosti 2025. Kawaida Bunge la Bajeti la mwaka wa Uchaguzi huvunjwa si kuahirishwa mwisho wa Juni au mapema Julai. Tayari Rais wa BMZ Dr. Mwinyi ameshatangaza Bunge la Wawakilishi linaenda mpaka Agosti!! Kuna nn?
Hii ni kutokana na kujipanga kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Oktoba mwaka wa Uchaguzi. Mwaka huu huenda likaendelea mpaka Agosti na hii inaashiria kutokuwepo kwa Uchaguzi Mkuu ili kuipa Serikali muda wa kujipanga na No Reforms No Election.
Muda utaongea.
NchiHizo gharama za mishahara na stahiki nyingine za wabunge kwa muda wa miezi miwili atazibeba nani? Ngoja tuone.
View: https://youtu.be/P0Gza-ycva0?si=-o1iG2PhuL-Aizn_
Kuna habari zinaendelea mitandaoni kuwa Bunge la Bajeti mwaka huu huenda likavunjwa mwezi Agosti 2025. Kawaida Bunge la Bajeti la mwaka wa Uchaguzi huvunjwa si kuahirishwa mwisho wa Juni au mapema Julai. Tayari Rais wa BMZ Dr. Mwinyi ameshatangaza Bunge la Wawakilishi linaenda mpaka Agosti!! Kuna nn?
Hii ni kutokana na kujipanga kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Oktoba mwaka wa Uchaguzi. Mwaka huu huenda likaendelea mpaka Agosti na hii inaashiria kutokuwepo kwa Uchaguzi Mkuu ili kuipa Serikali muda wa kujipanga na No Reforms No Election.
Muda utaongea.
Na wao wenyewe ndani kwa ndani wanaumanaKuna uwezekano baadhi ya Sheria za Uchaguzi zikabadilika kwenye Bunge hili hli b4 election 2025 ndipo tuende kwene Election. Tafakari!!!!
HowNa wao wenyewe ndani kwa ndani wanaumana
"speculation"! Jambo likitangazwa rasmi na muhusika haliwi kwenye sifa uisemayo.Kwani bunge limetoa sababu gani kuhusiana na hilo? Maana wakati mwingine tunaumizana vichwa kutoa speculation bila msingi wa maana
Siasa za bongo"speculation"! Jbo likitangazwa rasmi na muhusika haliwi kwenye sifa uisemayo.
View: https://youtu.be/P0Gza-ycva0?si=-o1iG2PhuL-Aizn_
Kuna habari zinaendelea mitandaoni kuwa Bunge la Bajeti mwaka huu huenda likavunjwa mwezi Agosti 2025. Kawaida Bunge la Bajeti la mwaka wa Uchaguzi huvunjwa si kuahirishwa mwisho wa Juni au mapema Julai. Tayari Rais wa BMZ Dr. Mwinyi ameshatangaza Bunge la Wawakilishi linaenda mpaka Agosti!! Kuna nn?
Hii ni kutokana na kujipanga kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Oktoba mwaka wa Uchaguzi. Mwaka huu huenda likaendelea mpaka Agosti na hii inaashiria kutokuwepo kwa Uchaguzi Mkuu ili kuipa Serikali muda wa kujipanga na No Reforms No Election.
Muda utaongea.
Inasikitisha sana mkuuAcha uchawa ww!! Chadema na Bunge kuvunjwa Agosti wapi na wapi!
Let seeMungu wangu anasema mwaka huu hakuna uchaguzi ,sasa sijui binadam wanatoa jeuri wapi.
View: https://youtu.be/P0Gza-ycva0?si=-o1iG2PhuL-Aizn_
Kuna habari zinaendelea mitandaoni kuwa Bunge la Bajeti mwaka huu huenda likavunjwa mwezi Agosti 2025. Kawaida Bunge la Bajeti la mwaka wa Uchaguzi huvunjwa si kuahirishwa mwisho wa Juni au mapema Julai. Tayari Rais wa BMZ Dr. Mwinyi ameshatangaza Bunge la Wawakilishi linaenda mpaka Agosti!! Kuna nn?
Hii ni kutokana na kujipanga kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Oktoba mwaka wa Uchaguzi. Mwaka huu huenda likaendelea mpaka Agosti na hii inaashiria kutokuwepo kwa Uchaguzi Mkuu ili kuipa Serikali muda wa kujipanga na No Reforms No Election.
Muda utaongea.
So Zanzibar wenyewe wataanza uchaguzi baada ya August 13 uku Bata wakianza June 28Ni bunge la huko zanzibar(Baraza la wawakilishi) ndiyo litavunjwa mwezi agosti
We mbona unaonekana kama wakuja? Haya Mabunge la BMZ na Bara huwa almost yanaenda sambamba kwenye vikao vya Bajeti.Ni bunge la huko zanzibar(Baraza la wawakilishi) ndiyo litavunjwa mwezi agosti
Linamsaidia kupata helaLinamsaidia nini mtanzagiza kwa mfano
JK lini alihairisha kuvunja bunge toka June Hadi August?Ni takwa la kikatiba na kwamba hata yule JK alishawai kufanya hivo.Hakuna jipya.
Hapa ni kuingia barabarani tu