Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Bunge la lalasalama wengine wanaweza wasirudi!Wanataka kujipa hela nyingi tu za padiemu hao wewe
Wanaweza?? Kalibia 60% hawarudiBunge la lalasalama wengine wanaweza wasirudi!
Posho ya 400,000/= kwa siku ni hela ndefu sana. Wapo hapo tokea April ni almost 3 months now. Wakienda mpaka Agosti ni miezi 5 sasa fanya hesabu ya jumla 5 x 30 x 400,000=60,000,000(60m/=). Hii ni pensheni ya mstaafu aliyefanya kazi zaidi ya miaka 30++!!!Posho
Acha uchawa ww!! Chadema na Bunge kuvunjwa Agosti wapi na wapi!Chadema bhana 😂
Kwani bunge limetoa sababu gani kuhusiana na hilo? Maana wakati mwingine tunaumizana vichwa kutoa speculation bila msingi wa maana
View: https://youtu.be/P0Gza-ycva0?si=-o1iG2PhuL-Aizn_
Kuna habari zinaendelea mitandaoni kuwa Bunge la Bajeti mwaka huu huenda likavunjwa mwezi Agosti 2025. Kawaida Bunge la Bajeti la mwaka wa Uchaguzi huvunjwa si kuahirishwa mwisho wa Juni au mapema Julai. Tayari Rais wa BMZ Dr. Mwinyi ameshatangaza Bunge la Wawakilishi linaenda mpaka Agosti!! Kuna nn?
Hii ni kutokana na kujipanga kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Oktoba mwaka wa Uchaguzi. Mwaka huu huenda likaendelea mpaka Agosti na hii inaashiria kutokuwepo kwa Uchaguzi Mkuu ili kuipa Serikali muda wa kujipanga na No Reforms No Election.
Muda utaongea.
Kwene hiyo video clip jamaa walioko US wanasema Marekani inapanga mkakati wa kuibana Tanzania kwa issue ya Lissu na Uchaguzi Mkuu kabla ya Oktoba,2025.Kuna jambo kubwa. BI CHAUDELE anatangaza kutupa taulo.
Sikiliza na soma kwa makini. Jiulize kwann Rais wa BMZ amesogeza mpaka Agost ukizingatia ni mwaka wa Uchaguzi.....Tafakari.Kwani bunge limetoa sababu gani kuhusiana na hilo? Maana wakati mwingine tunaumizana vichwa kutoa speculation bila msingi wa maana
Kuliko ww bora kima.
View: https://youtu.be/P0Gza-ycva0?si=-o1iG2PhuL-Aizn_
Kuna habari zinaendelea mitandaoni kuwa Bunge la Bajeti mwaka huu huenda likavunjwa mwezi Agosti 2025. Kawaida Bunge la Bajeti la mwaka wa Uchaguzi huvunjwa si kuahirishwa mwisho wa Juni au mapema Julai. Tayari Rais wa BMZ Dr. Mwinyi ameshatangaza Bunge la Wawakilishi linaenda mpaka Agosti!! Kuna nn?
Hii ni kutokana na kujipanga kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Oktoba mwaka wa Uchaguzi. Mwaka huu huenda likaendelea mpaka Agosti na hii inaashiria kutokuwepo kwa Uchaguzi Mkuu ili kuipa Serikali muda wa kujipanga na No Reforms No Election.
Muda utaongea.
Kuna jambo kubwa. BI CHAUDELE anatangaza kutupa taulo.
Wanataka wakamue hazina kusibaki kitu
View: https://youtu.be/P0Gza-ycva0?si=-o1iG2PhuL-Aizn_
Kuna habari zinaendelea mitandaoni kuwa Bunge la Bajeti mwaka huu huenda likavunjwa mwezi Agosti 2025. Kawaida Bunge la Bajeti la mwaka wa Uchaguzi huvunjwa si kuahirishwa mwisho wa Juni au mapema Julai. Tayari Rais wa BMZ Dr. Mwinyi ameshatangaza Bunge la Wawakilishi linaenda mpaka Agosti!! Kuna nn?
Hii ni kutokana na kujipanga kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Oktoba mwaka wa Uchaguzi. Mwaka huu huenda likaendelea mpaka Agosti na hii inaashiria kutokuwepo kwa Uchaguzi Mkuu ili kuipa Serikali muda wa kujipanga na No Reforms No Election.
Muda utaongea.
Ukisikiliza maelezo ya Rais wa BMZ kulisogeza Bunge mpaka Agosti 13 anesema ni MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU....!!Kama ni maandalizi ya Chaguzi ilitakiwa Bunge ndo livunjwe mapema.Wanataka wakamue hazina kusibaki kitu
Kuna jambo si Bure!Ingawa comment nyingi hapo juu zinaashilia namna wa tz walivyo viazi.Watu wanafikiri posho kama mag''ombe.Kwa ground kunafuka Moshi.Sikiliza na soma kwa makini. Jiulize kwann Rais wa BMZ amesogeza mpaka Agost ukizingatia ni mwaka wa Uchaguzi.....Tafakar