Bunge la Bajeti kuahirishwa Agosti kuna nini nyuma ya pazia?


Ingawa wanaona aibu lakini behind the scenes wanatafuta mamna ya kunegociate.
 

Kwa maana hiyo ji kweli kuwa uchaguxi haupo October maana hakuna mchakato wowote wa uchaguzi unaweza kuanza jabla ya bunge kuvunjwa.

Process ya kuchukua form ni kama week 3 na kampeni miezi 2 . Kwa maana hiyo kuanzia October hakutakuwa na muda wa kutosha.
 
Kwene hiyo video clip jamaa walioko US wanasema Marekani inapanga mkakati wa kuibana Tanzania kwa issue ya Lissu na Uchaguzi Mkuu kabla ya Oktoba,2025.
Just stay tuned!
Wale jamaa hawana haraka ama papara. EU naona tayari yupo.mzigoni.
 
Rais atahutubia bunge tarehe 27 June 2025.
hizo story zako za vijiwe vya bangi kaa nazo
 
 

Attachments

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kulihutubia...jpg
    153 KB · Views: 24
Kauli ya mwenye nacho atazidi kupata ndiyo hii sasa
 
Huenda wamepiga hesabu ccm ina uhakika wa kupata ushindi mnono hata reform ikifanyika, kwa hiyo ikaona ni vema tu reforms za uchaguzi zifanyike hawana hofu nazo. Kinara wa kufanyika reforms za uchaguzi adai sasa anapata haki zake huko anakoshikiliwa, huenda akaachiliwa mapema arudi siasani kuja kuja kuweka mambo sawa ya kufanyika uchaguzi wenye reforms na wao washiriki
 
Watakosea na kuvuruga bajeti ya serkali sababu mwaka mpya wa serikali unaanza tarehe 1/7 every year.
Na kuisha 30 June every year .
Hoja yangu wakibaki mpk August watatumia bajeti ambayo haipo kwa matumizi yao na kuharibu bajeti ya mwaka husika.
 
Samia anahutubia lakini hatolivunja,ata Mwinyi ilipangwa iwe hivyo kuhutubia kulivunja lakini aliishia kulihairisha
Usisahau.
Na Nchimbi leo kawaambia nini wale wanawake huko Arusha?
1 + 1 = 2 haiwezi kumshinda mtu yeyote mwenye akili timamu, hata kama hakwenda shule.
 
Rais atahutubia bunge tarehe 27 June 2025.
hizo story zako za vijiwe vya bangi kaa nazo
Inaonyesha wazi mlevi wa bangi ni wewe.
Mleta mada hajazungumzia "Rais kutolihutubia bunge"! Inaonyesha huko shule ulikuwa mbuzi kwelikweli!
 


Nitamshangaa sana Rais Samia kama atavi'unja bunge bila kukaa kitako na Chadema na pia kumwachia Lisu ili nchi isielekee kwenye mkwamo mkubwa wa kisiasa ,kijamii na kiuchumi.


Uchaguzi ni jambo la kupata viongozi wachache wasiozidi hata mia tano wa majimbo na madiwani wasiozidi 5k . Hatufanyi uchaguzi wa viongozi wa majeshi bali wanasiasa Raia .


Hii hofu ya kuwatisha watu kuwa oooh , kusogeza uchaguzi mbele ni jambo la hatari inatoka wapi hiyo hatari wakati ulinxi na usalama wa nchi bado unafanywa na majeshi yetu na sio
 
No reforms no election. Ndiyo chanzo. Wanataka kufanya Reforms
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…